Naibu Katibu wa Chadema Zanzibar Salmu Mwalimu amesema hashangai kuona jamii inashutuka Chadema kumteua mtu ambaye si maarufu sana kisiasa kuwa katibu mkuu. Amesema hata yeye alipoteuliwa watu walihoji huyu ni nani, lakini sasa wanaweza kuwa na majibu kama ameitendea haki nafasi yake au la
"Dr Mashinji alikuwa ndani ya chama akishiriki kutengeneza mikakati, hata ilani ya ukawa ilitengenezwa chi ya uratibu wake". Amesema kwa wanaofutilia siasa hawewezi kushutuka ila jamii inaweza kushutuka kwa vile wamezoea nafasi kama hizo kuchukuliwa na watu maarufu.
Source: Millard Ayo
My take:
Hawa watu tuliwambia yapo majeshi yaliyoko mstari wa mbele na mengine hayaonekani hawakushutuka mpaka wakaja hata aliyekuwa katibu mkuu wa wizara nyeti ya serikali naye ni Chadema? Kumbe!