Kipimo cha busara ni kg,km au kipimo gani tafadhali.Regina ana akili na busara nyingi na ndo maana aliona vyema nafasi hiyo watumikie wengine lakini huyo mwingine mtajua wenyewe
Umeingiza viroba,umeingiza upinzani na umeandika yote uloyoweza lakini umeshindwa kujua kwa nini uzi huu upo hapo.Naona siku hizi nyuzi za WAATHIRIKA WA UKOSEFU WA VIROBA(UKOVI) zinachekesha sana.....Tambueni Nafasi za watu wawili tofauti Mama REGINA akustahili kabsa kukubali ile nafasi maana yeye pale hajatoa jasho kukifikisha hicho chama mahali kilipo...Kwa hiyo kukataa ile nafasi ilikuwa ni jambo jema tu pia tutambue kabsa HUYU MAMA HAKUFURAHISHWA KABSA KUWA MWANACHADEMA hapa UKOVI najua mtalipinga hili ila kwa tunaojua ndio tunasema sasa.....
Na pia bila kupepesa macho huyo mama hakustahili kabsa kupewa hiyo nafasi ya UBUNGE na hili lazima tu lilikuwa ni AMUZI binafsi la mwenyekiti la kumpooza mzee baada ya kula kipigo kitakatifu toka kwa MAGU.......
Tukija kwa upande wa MAMA SALMA kwa vyovyote vile ata kama hakupenda ule UTEUZI wake lazima tu HAKUBALI....maana angekataa ile ingeleta picha mbaya sana baina ya JK na MAGUFULI.....na pia tambueni huyu MAMA NI MSHIRIKI MKUBWA SANA KWENYE USHINDI WA MAGUFULI and she was one of the best FIRST LADY ndani ya nchi hii...well presentable mama ana jua kuongea na ni mtu ambaye amekuwa akijumuika na jamii ipasavyo....
Afu kingne kama tu mama SALMA angekataa huu uteuzi na NADHANI VIONGOZI WA UKOVI mngepata pakutokea mtaani na la kuongea mpaka 2020......na ingekuwa ni furaha kweli CDM na hili lingekuwa pia ni ngazi kwenu kupata sapoti ya kile mnachokisema kila siku ya KUWA MAGUFULI hapendwi na wana ccm.....KUMBE UPUUZI MTUPU
NA kingne kwanini hamsemi kuhusu yeye kipindi kile alikuwa ni FIRST LADY lakini still anaenda gombania UNEC kwao??????
NYIE UPINZANI wa kipindi CHA MAGUFULI ukweli mmechanganyikiwa ipasavyo...
MAGUFULI HUYOOOO yeye anajizidi chanja mbuga tu
Kwani lazima atangazwe ndipo akatae?Wakati wa kushauriwa kuwa atateuliwa si anaweza kukataa tu kama Makongoro Nyerere alivyokataa ubunge kwa Mkapa?Mama Salma hata angekataa uteuzi maneno yasingekosa!
Regina sio mwanasiasa ni mfanyabiashara..salma kikwete ni mwanasiasa..ni haki kufanya siasa vyovyoteRegina ana akili na busara nyingi na ndo maana aliona vyema nafasi hiyo watumikie wengine lakini huyo mwingine mtajua wenyewe
Umejenga hoja nzuri sana na pia umedhihirisha NGUVU YA HOJA yako.Regina ni mama mwenye hekima na anaridhika na kile alichopewa na Mungu pasipo shusha hadhi yake.
Huyu mwingine hata hajui first lady maana yake nini. Mume akiwa Rais, kwa maana nyingine mke ni Rais mdogo. Mke wa Rais akitaka kwenda mtembelea ndugu yake, lazima ulinzi uimarishwe pale anapokwenda. Ndiyo maana Salma alikuwa akipokewa na RPCs huko mikoani kipindi anapoenda.
Mtu muelewa na anayetosheka, hauwezi toka kwenye position ukaenda kwenye bunge na kukaa upande wa ccm ambako unajoin kundi la kuzomea hoja za upinzani ukisema "hiloooooo"
Moja ya sababu za Hillary Clinton kushindwa kwenye uchaguzi ni jambo ili la u first lady. Kwamba hayo aliyosema atafanya kama akipewa urais, mbona hakufanya akiwa first lady?. Kwa USA, state secretary ni karibia sawa na vice President, je alishindwa nini fanya hayo mambo akiwa secretary to the state.
Wamarekani walisema mbona huyu hatosheki? Wakasema hata mke wa Obama anaposema mama Clinton atafanya moja mbili, je kwanini yeye mrs Obama hakufanya hayo kipindi akiwa first lady?
Juzi Salma anamshukuru Magufuli kupeleka maji Lindi, je alishindwaje yeye kumwambia mumewe tupeleke maji ukweni kwako?
Salma Kikwete hatambui maana ya first lady. Kwenda kwenye ubunge ni demotion.