Salma Kikwete bado anapokea mshahara wa Uwalimu?

Salma Kikwete bado anapokea mshahara wa Uwalimu?

kanyero

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
202
Reaction score
21
Hivi ni kweli mama salma Kikwete bado amapikea mshahara wa uwalimu?
 
Maajabu hayo!!!
Rais JK anaongoza kwa kumiliki vitegauchumi kuliko Marais wa Tz waliomtangulia!!!
 
Maajabu hayo!!!
Rais JK anaongoza kwa kumiliki vitegauchumi kuliko Marais wa Tz waliomtangulia!!!

Ata ivyo anayo haki yakumiliki hivyo vitega uchumi,maana kaingia kwenye system ata kabla haujazaliwa.......yani ulikuwa kiunoni kipindi icho.
 
Si kikwete si Slaa minaona wote ndowalewale walafi
 
Kumbe!!
Maajabu hayo!
Nchi nyingine duniani Kama Italia ukiwa rais Au mbunge unamkabidhi mtu mwingine biashara tena unatangaza ktk media
 
Sasa nchi yetu inakwendaje coz CCM na CDM wote mafisadi CUF ndo usiseme.
Sasa tukbilie wapi?
 
Naomba mwenye recent salary slip ya First Lady wetu aipost hapa
 
jamani jamani hatutaki kusikia umetolewa kucha.system ya ccm ni kutoa sifa kadri uwezavyo.Jk ni rais mtakatifu
 
Back
Top Bottom