kwahio voucher ya elfu 10 unauza kwa elfu moja ?; kuletewa mpaka mlangoni ? kwani mtu akiwa Mpanda huwezi kumtumia namba za voucher au activation kwenye simu au akikupa namba yake ya modem huwezi kumjazia direct akikupa namba ya modem; by the way ingekuwa bora uweke number yako watu wakupigie wengine hawapendi kujulikana humu JFPunguzo ni la 10%, na unaletewa mahali ulipo kama upo ndani ya Dar es Salaam