Salim Kikeke kurejea nchini baada ya miaka 17 ya utumishi wake kwa "mabeberu"

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,525
Huyu Mtanzania anakimbilia nini kurudi home mboma wenzake akina Vincent Makori na Shaka Ssari na Sudi Mnete, Zuhura Yunusna wengine wanakaa hadi wanastaafia huko ye vip amekosa connection ya kuhamia idhaa nyingine au kazingua huko?

Na kaoa beberu hapa anaishi kama mgeni maana hatuna duo citizenship au ndio anaukana uraia wa uingereza mazima

Tujadili tafadhali.
===
Miaka 17 ya utumishi wake katika studio za Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) imemfanya kuwa miongoni mwa Watanzania wenye mafanikio zaidi katika fani ya uandishi wa habari na utangazaji.

Jina la Salim Kikeke ni maarufu katika uga wa habari ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

Mtangazaji huyu mahiri wa kipindi cha Dira ya Dunia, alitua Jiji la London nchini Uingereza mwaka 2003 na alianza kuaminiwa taratibu katika shirika hilo.
 
Huyu mtz anakimbilia nini kurudi home mboma wenzake akina Vincent Makori na Shaka sari na sudi mnete wengine wanakaa hadi wanastaafia huko ye vip amekosa connection ya kuhamia idhaa nyingine au kazingua huko?


Na kaoa beberu hapa anaishi kama mgeni maana hatuna duo citizenship au ndio anaukana uraia wa uingereza mazima

Tujadili tafadhaliView attachment 1725924
Mnete na Salim, Salim ni senior zaidi hata umri pia, huyo kituo cha kwanza ni Azam media akirudi bongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom