S Swensa JF-Expert Member Joined Oct 18, 2024 Posts 2,837 Reaction score 4,155 Aug 3, 2025 #2 Kigezo cha mwisho nimekosa Sina uzoefu ata mwezi Mmoja, huwezi kuchukua mkuu
FEBIANI BABUYA JF-Expert Member Joined Mar 5, 2022 Posts 2,231 Reaction score 4,390 Aug 3, 2025 #3 Mtu analipwa kwa kamisheni na bado unahitajika uzoefu wa mwaka mzima!? Tanzania kutoboa kazi sana
Msaga_sumu JF-Expert Member Joined Aug 31, 2022 Posts 346 Reaction score 374 Aug 3, 2025 Thread starter #4 Bakalalwa said: Kigezo cha mwisho nimekosa Sina uzoefu ata mwezi Mmoja, huwezi kuchukua mkuu Click to expand... 0768842034
Bakalalwa said: Kigezo cha mwisho nimekosa Sina uzoefu ata mwezi Mmoja, huwezi kuchukua mkuu Click to expand... 0768842034
Msaga_sumu JF-Expert Member Joined Aug 31, 2022 Posts 346 Reaction score 374 Aug 3, 2025 Thread starter #5 FEBIANI BABUYA said: Mtu analipwa kwa kamisheni na bado unahitajika uzoefu wa mwaka mzima!? Tanzania kutoboa kazi sana Click to expand... Hapo EQ imezidi IQ.
FEBIANI BABUYA said: Mtu analipwa kwa kamisheni na bado unahitajika uzoefu wa mwaka mzima!? Tanzania kutoboa kazi sana Click to expand... Hapo EQ imezidi IQ.
FEBIANI BABUYA JF-Expert Member Joined Mar 5, 2022 Posts 2,231 Reaction score 4,390 Aug 3, 2025 #6 Msaga_sumu said: Hapo EQ imezidi IQ. Click to expand... Mkuu professionally mimi ni Marketing Manager and Public Relations manager.... Nimefanya sales na baadhi ya taasisi... Kwa mahitaji yako hata mtu ambaye hana experience ya kutosha unaweza mtrain kwa siku mbili tu akaanza taratibu. Uzoefu wa mwaka ni mtu ambaye unatakiwa uwe unamlipa mshahara.... Ukiichukulia kwa chuki huwezi kunielewa... NB Tanzania watu wanatake advantage kwa sababu watu wana njaa..... So far Good luck.
Msaga_sumu said: Hapo EQ imezidi IQ. Click to expand... Mkuu professionally mimi ni Marketing Manager and Public Relations manager.... Nimefanya sales na baadhi ya taasisi... Kwa mahitaji yako hata mtu ambaye hana experience ya kutosha unaweza mtrain kwa siku mbili tu akaanza taratibu. Uzoefu wa mwaka ni mtu ambaye unatakiwa uwe unamlipa mshahara.... Ukiichukulia kwa chuki huwezi kunielewa... NB Tanzania watu wanatake advantage kwa sababu watu wana njaa..... So far Good luck.