Habari wandugu!!! Nilitaka kujua km kuna mtu alishawahi kua attend interview za sales consultants za tunakopesha!!! Nilitaka kujua zikoje?? Malipo yao yakoje je ni commission bases au salary?
kuzunguka kama muuza gazeti anayetembeza au muuza mihogo.....,kila shule au halmashauri na kwenda kunadi sera zako za kampuni yako ili uwashawishi wafanyakazi wakope....., na utatumia gharama zako za usafiri......ukirudi hauna wateja, meneja wako anakuwakia kinoma,....
Wakoje mkuu Tang'ana? Hawalipi?warushi? Malipo kidogo? Yaan nataka mnieleze kiundan maana kuna Mdogo wangu ametuma maombi ili nimwambie aendelee hapo hapo Brac alipo coz alitaka ahamie huku
Wakoje mkuu Tang'ana? Hawalipi?warushi? Malipo kidogo? Yaan nataka mnieleze kiundan maana kuna Mdogo wangu ametuma maombi ili nimwambie aendelee hapo hapo Brac alipo coz alitaka ahamie huku