Sales and marketing officer anahitajika

Sales and marketing officer anahitajika

Rashnasa

New Member
Joined
Apr 15, 2018
Posts
1
Reaction score
3
Lablife tunajihusisha na uuzaji wa bidhaa za maabara/vitenganishi tiba (Lab supplies and Reagents)
Tunatafuta mfanyakazi kwa ajili ya kuuza dukani pia na kufanya utambulisho wa bidhaa (marketing) katika vituo vya afya na Hospital.
Sifa za muombaji za lazima
-Awe mkaazi wa Morogoro
  • Umri miaka 18 - 30
    -Awe na elimu isiyopungua form four
    -Awe tayari kusafiri kutoka sehemu ya kazi kwa ajili ya kutangaza bidhaa itakapohitajika
    -Awe na uwelewa wa mkoa wa Dar es salaam
    -Awe muaminifu na mchapakazi
Sifa za ziada
-Awe na certificate ya marketing, business au inayofanana na hizo
-Awe na certificate ya maabara (Lab technician)

Tuma CV na Coverletter kwa email hii lablifetz@gmail.com
watakaokizi vigezo tu ndio watakaoitwa interview

Deadline : 2nd sept 2018
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom