Sale sale ya laptop computer

Sale sale ya laptop computer

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Habari wana JF nauza computer aina ya laktop kabila lake ni HP EliteBook ni used kutoka uengereza.

Platform windows 7 Royale XP
Licence type professinal
Core os vesion 2010

CPU model. Intel(R) core Tm 2 P8600 @ 2.40GHz
Memory (ram) 2.39 GHz 1.92 GB of RAM

HAD DISK 2 PATITION
C Total disk space is 9.76 GB
D Total disk space is 445 GB

Pia ina DVD writer
Bey ni laki 6 na nusu 650000 ila bei inapungua
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1361091415560.jpg
    uploadfromtaptalk1361091415560.jpg
    58.4 KB · Views: 100
Nimeona mkuu ila hujanieleza we' unapatikana pande zipi??
 
Nipo zanziba ila natumai nikipata mtu ataekua anahitaji nitamletea hadi dar na niko nazo 7 hizo na nyengine ni desk top
 
Mi napatikana kwa simu 0777 433260 sms zote zitajibiwa
 
Uwezo wangu ni kuja nayo hadi dar kwa mtwara itabidi price iengezeke ila pia niwe na uhakika wa kufanya biashara km unaitaka ni PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom