Ungeelezea vizuri hiyo payslip uliyopeleka Ina utata gani ndio ungeweza kusaidiwa.Sorry guys nilifanya interview na NGO flani na nilifanikiwa kupitaa na waliniomba nisubmit baadhi ya documents na salary slip ...but pale ninapo fanyia kibarua walinitengenezea salary slip iliyo zua utata kwa Hawa waajir wapya je nifanye Nini ili nafasi yangu iwe salamaa??
Yaaa nilikuwa ni kibaruaa na malipo yangu yalikuwaa ni ya kulipwa kwa kupitia JDR system na sikuwa na contract .. contract zetu zilikua ni za miezi mitatu mitatuUngeelezea vizuri hiyo payslip uliyopeleka Ina utata gani ndio ungeweza kusaidiwa.
Na pia ni vizuri ungeelezea hiyo kampuni ya awali uliajiriwa kisheria kabisa au ulikuwa Kama kibarua?maana Kama ulikuwa kibarua itakuwa ngumu sana kuwadai wakupe payslip.
Na kingine Cha muhimu je wakati uliajiriwa kwenye hyo kampuni ya awali hukupewa mkataba ambao unaonyesha kiwango chako Cha mshahara?
Ulikuwa unaingia kwa maneno tu hakuna maandishi yoyote ya kuonyesha kuwa ulikuwa mfanyakaziYaaa nilikuwa ni kibaruaa na malipo yangu yalikuwaa ni ya kulipwa kwa kupitia JDR system na sikuwa na contract .. contract zetu zilikua ni za miezi mitatu mitatu
Ulikuwa unaingia kwa maneno tu hakuna maandishi yoyote ya kuonyesha kuwa ulikuwa mfanyakazi
Dah hapo kuna kazi!Ulikuwa unaingia kwa maneno tu hakuna maandishi yoyote ya kuonyesha kuwa ulikuwa mfanyakazi
Iko tofaut na za wengine na ndio walicho kionaa kwani wameajir watu wengine kwenye NGO niliyo nafanya kibarua kulinganisha payslip hazilandani kabisa mkuu .. sijajua mpaka Sasa my wayfoward ili niilinde position yng maana wenzangu nilio piga nao niterview wameanza kaziDah hapo kuna kazi!
Hyo payslip uliyopeleka Ina shida gani
Lakini wakati unaomba kazi kwenye cv yako uliwaambia ukweli kuhusu mazingira ya kazi yako yaani title lako?Iko tofaut na za wengine na ndio walicho kionaa kwani wameajir watu wengine kwenye NGO niliyo nafanya kibarua kulinganisha payslip hazilandani kabisa mkuu .. sijajua mpaka Sasa my wayfoward ili niilinde position yng maana wenzangu nilio piga nao niterview wameanza kazi
Ndio titles niliwekaa Kama internshipLakini wakati unaomba kazi kwenye cv yako uliwaambia ukweli kuhusu mazingira ya kazi yako yaani title lako?
Mkataba ulikuwa nao. The contract can be implied or expressYaaa nilikuwa ni kibaruaa na malipo yangu yalikuwaa ni ya kulipwa kwa kupitia JDR system na sikuwa na contract .. contract zetu zilikua ni za miezi mitatu mitatu