Salary slip

Salary slip

Joined
Jan 4, 2017
Posts
17
Reaction score
8
Napataje salary slip jaman nimetuma picha ili mjue nilipo fikia kila nikijaribu kujisajir inagomaa inaload muda baadae inakata
Screenshot_20190219-102121.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi hamna namba za kuwapigia jamaa kwa ajili ya msaada wa mtu aliesahau password na haukumbuki email aliyotumia kujisajilia?
 
duh nilikuja mbio sana nikidhani ni yule member ya CDM na JF Mama kamteua kuwa Mkuu wa Wilaya?
nikawa na maswali kibao Salary Slip atakubali kweli au atakataa akiona ni sualiti wa uanaharakati?
 
Back
Top Bottom