Salary Slip thread, Walioajiriwa na scale za mishahara

seedfarm

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
260
Reaction score
2,657
Huu uzi utumike kama hamasa kwa wale wanaohitaji ongezeko la mishahara,Unaweza ukaweka taarifa zako za mshahara kwa kuficha baadhi ya vitu mfano majina yako, Taasisi yako au Slip namba.

Hamasa ni kitu muhimu ili watu wafikie malengo.

Unaweza ukaeleza taasisi ulizopita na kufanya kazi wanalipa kiasi gani kwa wale watu wapya au wenye uzoefu.

Kwa watumishi wa uma ni muhimu zaidi ili kuwapa vijana taarifa kamili wakati wa kutafuta ajira mfano kwenye taasisi zinazopanga mshahara nje ya mfumo wa scale za kawaida.

Unaweza taja taasisi hizo na scale zake za mishahara. Je, ongezeko la mshahara wanafanya mahesabu kwa utaratibu upi?
 
Miaka ya nyuma tulipokua tukipokea mishahara kwenye bahasha, zilikua zimegongwa muhuri wa "confidential".
Sasa wakatiule iliku ikitokea ukaenda kuomba kuongezewa mshahara, unaulizwa "umeona kwa nani"?

Na ukijibu tu kwamba umeona kwa flani na kiasi chake, basi huyo ulie mtaja anafukuzwa kazi kwa kosa la "kutotunza usiri".
 
Huu uzi utumike kama hamasa kwa wale wanaohitaji ongezeko la mishahara,Unaweza ukaweka taarifa zako za mshahara kwa kuficha baadhi ya vitu mfano majina yako, Taasisi yako au Slip namba.

Hamasa ni kitu muhimu ili watu wafikie malengo.

Unaweza ukaeleza taasisi ulizopita na kufanya kazi wanalipa kiasi gani kwa wale watu wapya au wenye uzoefu.

Kwa watumishi wa uma ni muhimu zaidi ili kuwapa vijana taarifa kamili wakati wa kutafuta ajira mfano kwenye taasisi zinazopanga mshahara nje ya mfumo wa scale za kawaida.

Unaweza taja taasisi hizo na scale zake za mishahara. Je, ongezeko la mshahara wanafanya mahesabu kwa utaratibu upi?
None sense...!
We ni mtumishi wa serikali au ndo msaka tonge?
 
Mbona mishahara ya watumishi wa umma iko wazi tu.
Mfano mwalimu mwenye bachelor degree analipwa 730k.
 
Huu uzi utumike kama hamasa kwa wale wanaohitaji ongezeko la mishahara,Unaweza ukaweka taarifa zako za mshahara kwa kuficha baadhi ya vitu mfano majina yako, Taasisi yako au Slip namba.

Hamasa ni kitu muhimu ili watu wafikie malengo.

Unaweza ukaeleza taasisi ulizopita na kufanya kazi wanalipa kiasi gani kwa wale watu wapya au wenye uzoefu.

Kwa watumishi wa uma ni muhimu zaidi ili kuwapa vijana taarifa kamili wakati wa kutafuta ajira mfano kwenye taasisi zinazopanga mshahara nje ya mfumo wa scale za kawaida.

Unaweza taja taasisi hizo na scale zake za mishahara. Je, ongezeko la mshahara wanafanya mahesabu kwa utaratibu upi?
Utapata was TGS tu ila wale wa PSSS au PUSS na wengineo huwezi
 
Ya walimu hiyo wenye bachelor
Screenshot_20201110-222547~2.jpg
 
Huu uzi utumike kama hamasa kwa wale wanaohitaji ongezeko la mishahara,Unaweza ukaweka taarifa zako za mshahara kwa kuficha baadhi ya vitu mfano majina yako, Taasisi yako au Slip namba.

Hamasa ni kitu muhimu ili watu wafikie malengo.

Unaweza ukaeleza taasisi ulizopita na kufanya kazi wanalipa kiasi gani kwa wale watu wapya au wenye uzoefu.

Kwa watumishi wa uma ni muhimu zaidi ili kuwapa vijana taarifa kamili wakati wa kutafuta ajira mfano kwenye taasisi zinazopanga mshahara nje ya mfumo wa scale za kawaida.

Unaweza taja taasisi hizo na scale zake za mishahara. Je, ongezeko la mshahara wanafanya mahesabu kwa utaratibu upi?
Anza na wewe mkuu ili utupe hamasa
 
Hivi hizi scale ya mishahara zipo kwa sekta unayofanyia kazi maana kuna TGTS,TGHS TGHOS na kwenye hizo scali kauna A 1... B 1... C1... D 1...?
 
Back
Top Bottom