"Salary" amedumaa ... hakui

Ngoja aje akija akimind mm nitamuomba msamahaa maana mtoa mada kuna kitu alitaka kusema ila kafichaa
mtoa mada hajafcha kitu bali naye pia ashangazwa kulikoni kwa "salary" mbona hakui wakati maswahiba wake wamekuwa "taller" mara mbili .... wakati yeye hajawahi hata kuwa "tall"
 
Ungejua mtoto salary na mtoto maendeleo wamedumaa kwa sababu wanalelewa na baba na mama wa kambo usinge jisumbua kuuliza
Baba pombe
Mama chama cha magamba
 
Amebemendwa huyo, na mbemendaji maarufu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…