Kibirizi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 604 Reaction score 149 Oct 22, 2011 #1 Jamani kuna mkopo unatolewa na hazina kwa watumishi ila wao wenyewe wanaita salary advance kwa sababu haina riba, je kuna mtu ana taarifa nao za kina au anaweza kutuweka hata fomu zao ili tujue kilichopo.
Jamani kuna mkopo unatolewa na hazina kwa watumishi ila wao wenyewe wanaita salary advance kwa sababu haina riba, je kuna mtu ana taarifa nao za kina au anaweza kutuweka hata fomu zao ili tujue kilichopo.