Salamu

Haya nitakuwa namwita mme mwenza au nakosea napo?
Ulisema mzungu kumbe ni Mzungu wa usukumani kule kwa shemeji zangu.

Fide why are you trying my patience lakini jamani...........
agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
ntamwambia na binamu Kaizer, ujue hadi ameanzisha kampuni yake ya kurepair vifaa vitumiavyo umeee!!!!!!!!!!! we haya weeeee
 
Mnanifurahisha sana Wapwazz na BInamuzz ndo maana nawapenda sana hasa hasa mpenzi wangu Chrispin

Oups! Nilifikiri mi big brother!
Lakini si mbaya. Ntalifikiria. Tegemea positive reply.
 
Wapwazz na BInamuzz hamjambo za asubuhi???
Mlilalaje??? Mmeamkaje??? Watoto wenu hawajambo??? Waume na wake zenu hawajambo??? Nimewamiss sana ndugu zanguni

Mie mzima kiasi nashangaa asubuhi yote hii nimepata kwikwi nina miaka sijapata kinanipa shida kweli hata kutype inasimama kwa sekunde kwikwi ikiija lol

Hakuna anayeoa/kuolewa siku za karibuni tena?? Nahitaji kuwa mhasibu mkuu kwa mara nyingine nimejikuta ninamiss kushika hela nyingi ambazi si zangu tehtehtehteh
icon10.gif


Muwe na siku njema na kazi njema.
JS

eti inafanyaje!?
 
haaa masaki nimecheka mpaka nimeckia kizunguzungu, nipeleke taratibu mwana wa mwenzio jamani!

haya hata si ya kucheka huy laaziz wako kuna alolificha humo......................
so funny eti Pearl kamtumia AK kamuharibia maisha haaaaaaaaaaaaaa....
 
Hawa wote wanapenda mm niwe shemeji yao kwako.
We endelea kuunanga nanga moyo wangu wapi niende nikamlilie?

B wa ukweli na Biggy is this wat you wish for me????
niambieni hapa hapa jamni nichague kujinyonga au kujitundika.............
 
Back
Top Bottom