N ngina rema JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 215 Reaction score 81 May 11, 2013 #1 Nimekuwa nikifuatilia habari na mengi yahusuyo jamiiforums, kiukweli, nkaipenda na nkaomba kuwa mwanachama.. Kwa Hilo nashukuru na ntafurahi kupata new friends. .
Nimekuwa nikifuatilia habari na mengi yahusuyo jamiiforums, kiukweli, nkaipenda na nkaomba kuwa mwanachama.. Kwa Hilo nashukuru na ntafurahi kupata new friends. .
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,823 Reaction score 55,617 May 11, 2013 #2 Karibu sana tuma request
BUCHANAGANDE JF-Expert Member Joined Sep 8, 2011 Posts 1,512 Reaction score 482 May 11, 2013 #3 Ooh, karibu sana mpendwa jamvini. Jisikie huru kuchangia chochote pamoja na kutoa dukuduku ulilonalo linalohitaji ushauri toka kwa wadau. KARIBU
Ooh, karibu sana mpendwa jamvini. Jisikie huru kuchangia chochote pamoja na kutoa dukuduku ulilonalo linalohitaji ushauri toka kwa wadau. KARIBU
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,628 May 11, 2013 #4 welcome
N ngina rema JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 215 Reaction score 81 May 11, 2013 Thread starter #5 BUCHANAGANDE said: Ooh, karibu sana mpendwa jamvini. Jisikie huru kuchangia chochote pamoja na kutoa dukuduku ulilonalo linalohitaji ushauri toka kwa wadau. KARIBU Click to expand... Asante sana kuwa wa Kwanzaa kunikaribisha.. Ctocta kufwata ushauri wako..
BUCHANAGANDE said: Ooh, karibu sana mpendwa jamvini. Jisikie huru kuchangia chochote pamoja na kutoa dukuduku ulilonalo linalohitaji ushauri toka kwa wadau. KARIBU Click to expand... Asante sana kuwa wa Kwanzaa kunikaribisha.. Ctocta kufwata ushauri wako..