Comment yako imefanya nijiulize nawajua Hanifa wangapi nimegundua sijawahi soma na Hanifa kuanzia mwanzo mpaka mwisho.Hanifa wengi ni quiet sluts..
Wapo wachache decent ..
Level hiyo nikifika nilimwambia ndugu yangu aniwekee sumu aniueUsijefikia tu kujigaragaza chini kama yule msela aliyekuwa anamlilia Hamida
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante, nasubiria call yako....βΊοΈHanifa baadae nitakupigia
Bro you are doing fine.Hanifa mwenyewe sijaacha kumpenda
nimeshindwa ku move on
namba yake tu nimeshindwa kuisahau
Hata ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovuAahahahahaaa pale mmoja wa ma Legendary wa JF anaposhikwa kunako Mahaba.
Pole mwaya, nakuombea upate Hanifa mwingine mwenye kukukubali vile ulivyo.
Mahaba ukijua kucheza nayo hata ulishwe nini kwenye dimbwi la Mahaba siku dimbwi likikauka hupati shoti π π π π .
Hii inawezekana iwapo tuu u mkongwe wa Mahaba π.
Eid Mubaraka βοΈπ.
Pigia simu huyo mfunguki kama unaogopa nikupe digits zangu weka conference call tupige tag teamSure
mi nachotaka ajue bado nampenda
bado anaishi moyoni mwangu
Ni Nifah wa jf?Sure
mi nachotaka ajue bado nampenda
bado anaishi moyoni mwangu