Angyelile99
Member
- Oct 9, 2023
- 94
- 171
kwanza nianze kwa kuipongeza taasisi ya JamiiForums kwa kua moja ya njia ya utoaji na ufikishaji wa taarifa mbalimbali kwa jamii na taifa kwa ujumla. Lakini pia napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wana JamiiForums wote kwa kua sehemu ya ufanikishaji wa zoezi hili la uhitimishwaji wa shindano la stories of change kwa mwaka 2024. Nikiwa kama mshindi wa 5 kati ya washindi 10 walio patikana, (Angyelile99) sikuweza kufika katika hafla hiyoo hapo Jana, lakini natumaini jambo lilikwenda sawa sawia