Salamu za mwaka 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salamu za mwaka 2011

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Quinty, Jan 2, 2011.

 1. Quinty

  Quinty JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tunamshukuru Mungu tumejaliwa kuuona mwaka mpya 2011. Tumwombe Mungu atujalie uzima wa mwili na roho na mafanikio mema kwa kila mwanajf na ndugu jamaa na marafiki zetu. Pia huu uwe mwaka mwingine wa kutoa na kuchangia hoja zenye nguvu, misingi na uelemishaji. Nawatakia heri ya mwaka nyote.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  asante....nawe pia uwe na Mwaka Mpya mwema wenye mafanikio kwa kila ulipangalo........ubarikiwe sana
   
 3. Quinty

  Quinty JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nashukuru Preta
   
 4. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  tx, HNY2011
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Usimtaje jina nashukuru inatosha tusije tukaunza vibaya mimi nawewe!!Don't touch the dial shes belong to me ask The finest but Happy new year.....lol.
   
 6. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Preta avatar zako zina utata!!!!!!!!!!! Wizi mtupu!!!

   
Loading...