karibu sana home of great thinkersHabari ya uzima sana JF nami nimeweza kujiunga na JF maana siku nyingi sana najaribu inanitoa ushamba na hamu yangu kubwa ya kujiunga ni kuwa nashiriki midahalo inayotolewa humu kwa wema pia Niko na Uzi naja kuutoa nipate ushali kutoka kwenu natanguliza hii salamu kupata kujua kama naonekana post zangu kwenu mnanipata MUNGU awabariki sana nyote
Namaanisha, nikiandika nitaonekana kwenu nilicho kiandika! au hakitaonekana, lakini kumbe kinaonekana maana mnanipata. Ndiyo hiyo maana yangu"post zangu kwenu mnanipata MUNGU"Naomba nitafsirie hapo tafadhali ila karibu mzanzibari mwenzangu.
Karibu sana, jitahidi kuandika vizuri.Habari ya uzima sana JF,
Nami nimeweza kujiunga na JF maana siku nyingi sana najaribu inanitoa ushamba na hamu yangu kubwa ya kujiunga ni kuwa nashiriki midahalo inayotolewa humu kwa wema pia nina uzi naja kuutoa nipate ushauri kutoka kwenu.
Natanguliza hii salamu kupata kujua kama naonekana post zangu kwenu mnanipata MUNGU awabariki sana nyote.