Salamu yangu ya kwanza, pokeeni JF members

Esayi

JF-Expert Member
Dec 3, 2017
355
146
Habari ya uzima sana JF,

Nami nimeweza kujiunga na JF maana siku nyingi sana najaribu inanitoa ushamba na hamu yangu kubwa ya kujiunga ni kuwa nashiriki midahalo inayotolewa humu kwa wema pia nina uzi naja kuutoa nipate ushauri kutoka kwenu.

Natanguliza hii salamu kupata kujua kama naonekana post zangu kwenu mnanipata MUNGU awabariki sana nyote.
 
Karibuni sana mkuu. Salam zako tumezipokea. Salamu ni nisu ya kuonana. Karibuni sana tena.
 
Uzi unaouleta jaribu kuweka vituo,maana umenipa shida kweli.Na bado sijakupata,ila nimejaribu kukupa ushali.
 
Uzi unaouleta jaribu kuweka vituo,maana umenipa shida kweli.Na bado sijakupata,ila nimejaribu kukupa ushali.
Poa kamanda! Ndiyo maana niksema nitangulize salaam, ili nijue vipi watu wanaelewa kwa mwandiko upi!
 
"post zangu kwenu mnanipata MUNGU"Naomba nitafsirie hapo tafadhali ila karibu mzanzibari mwenzangu.
 
Huu uandishi wako vp? Mbona kama treni kutoka Dar kwenda Kigoma tena mwisho wa reli, je treni haina mikoa inayosimama?
 
Mkuu
Habari ya uzima sana JF nami nimeweza kujiunga na JF maana siku nyingi sana najaribu inanitoa ushamba na hamu yangu kubwa ya kujiunga ni kuwa nashiriki midahalo inayotolewa humu kwa wema pia Niko na Uzi naja kuutoa nipate ushali kutoka kwenu natanguliza hii salamu kupata kujua kama naonekana post zangu kwenu mnanipata MUNGU awabariki sana nyote
karibu sana home of great thinkers
 
"post zangu kwenu mnanipata MUNGU"Naomba nitafsirie hapo tafadhali ila karibu mzanzibari mwenzangu.
Namaanisha, nikiandika nitaonekana kwenu nilicho kiandika! au hakitaonekana, lakini kumbe kinaonekana maana mnanipata. Ndiyo hiyo maana yangu
 
Habari ya uzima sana JF,

Nami nimeweza kujiunga na JF maana siku nyingi sana najaribu inanitoa ushamba na hamu yangu kubwa ya kujiunga ni kuwa nashiriki midahalo inayotolewa humu kwa wema pia nina uzi naja kuutoa nipate ushauri kutoka kwenu.

Natanguliza hii salamu kupata kujua kama naonekana post zangu kwenu mnanipata MUNGU awabariki sana nyote.
Karibu sana, jitahidi kuandika vizuri.

Karibu sana.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom