Salamu kwa Rais Samia

Salamu kwa Rais Samia

iamwangdamin

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
1,176
Reaction score
2,053
Mheshimiwa Rais,

Nitangulize salamu za heshima na pole kwa majukumu yako mazito ya kulitumikia na kuliongoza taifa letu. Nikiwa kijana mzalendo, mkweli na asiye na mashaka juu ya uzalendo wangu kwa nchi hii, nimeona ni vyema kukuletea salamu na ujumbe maalumu tunapoanza mwezi huu wa Disemba,mwezi wenye kumbukumbu adhimu ya Uhuru wa Tanzania.

Mheshimiwa Samia, nakushukuru kwa ujasiri, utulivu na hekima unayoendelea kuonesha katika kipindi hiki ambacho kinahitaji moyo mpana na uvumilivu wa hali ya juu. Ni wachache wanaothubutu kupaza sauti za kutetea amani na ustawi jumuishi wa taifa, lakini bado umesimama kama kiongozi madhubuti anayelinda ustaarabu na umoja wa watanzania.

Kimya chako, Mheshimiwa, ni sauti yenye nguvu. Ni sauti inayotujenga na kutuongoza. Ni sauti inayotukumbusha umuhimu wa busara katika uongozi. Japo katika safari hii umekutana na maneno, kejeli na kashfa za kila aina ,kama ilivyo kwa viongozi wengi wakubwa wote wa hapa Tanzania na duniani, bado umesimama imara kama mama wa taifa, bila kuyumbishwa na misukosuko ya kila siku.

Tafadhali endelea na utulivu huo huo. Watanzania wanaokuunga mkono, wanaokuchambua kwa haki, na wazalendo wa kweli katika taifa hili, wanauona umuhimu wa ukimya wako. Wengi wetu tunaumia tunaposhuhudia juhudi zako zikipuuzwa na baadhi ya sauti chache zenye chuki na misimamo isiyo na msingi. Lakini tunaamini, kama ilivyo daima, ukweli na mema ndivyo vitakavyoshinda.

Leo tunaanza mwezi wa Disemba, mwezi wa historia, uhuru na utambulisho wa Taifa letu. Namuomba Mwenyezi Mungu akupe utulivu zaidi, hekima zaidi, na nguvu zaidi katika majukumu yako. Akuweke mbali na fitna, na aibariki Tanzania katika safari yake ya amani, umoja na maendeleo kwa Waafrika wote.

Nakutakia kazi njema, heri ya mwezi huu wa Disemba, na heri ya maadhimisho ya Uhuru wa Tanzania.

Mzalendo kutoka Kivukoni,
Eng. Adam Magesa Ekingo

20251011_135130.jpg
 
View attachment 3509769
Tuondolee huu uchawa uchwara na uchangudoa wa kimaadili. Umeanidka mengi lakini uharo na utopolo mtupu msheenzi mkubwa. Ungekuwa umefiwa au kujeruhiwa, usingekuwa unatapika kama ulivyofanya hapa. Chawa chawa chawa ad infinitum. Haya matapishi mpelekee huyo mama yako nyuumbu mkubwa we.
 
Pumbavu Kenge Mmoja, tunaendelea kuwaorodhesha Kwa majina yenu.

Hakutakua na Jiwe juu ya Jiwe .

Mnatuumiza sana hisia zetu.
 
Tuondolee huu uchawa uchwara na uchangudoa wa kimaadili. Umeanidka mengi lakini uharo na utopolo mtupu msheenzi mkubwa. Ungekuwa umefiwa au kujeruhiwa, usingekuwa unatapika kama ulivyofanya hapa. Chawa chawa chawa ad infinitum. Haya matapishi mpelekee huyo mama yako nyuumbu mkubwa we.
wanaomuunga mkono samia ni machawa na wale wanaompinga ni machawa wa wa upinzani?
 
Mheshimiwa Rais,

Nitangulize salamu za heshima na pole kwa majukumu yako mazito ya kulitumikia na kuliongoza taifa letu. Nikiwa kijana mzalendo, mkweli na asiye na mashaka juu ya uzalendo wangu kwa nchi hii, nimeona ni vyema kukuletea salamu na ujumbe maalumu tunapoanza mwezi huu wa Disemba,mwezi wenye kumbukumbu adhimu ya Uhuru wa Tanzania.

Mheshimiwa Samia, nakushukuru kwa ujasiri, utulivu na hekima unayoendelea kuonesha katika kipindi hiki ambacho kinahitaji moyo mpana na uvumilivu wa hali ya juu. Ni wachache wanaothubutu kupaza sauti za kutetea amani na ustawi jumuishi wa taifa, lakini bado umesimama kama kiongozi madhubuti anayelinda ustaarabu na umoja wa watanzania.

Kimya chako, Mheshimiwa, ni sauti yenye nguvu. Ni sauti inayotujenga na kutuongoza. Ni sauti inayotukumbusha umuhimu wa busara katika uongozi. Japo katika safari hii umekutana na maneno, kejeli na kashfa za kila aina ,kama ilivyo kwa viongozi wengi wakubwa wote wa hapa Tanzania na duniani, bado umesimama imara kama mama wa taifa, bila kuyumbishwa na misukosuko ya kila siku.

Tafadhali endelea na utulivu huo huo. Watanzania wanaokuunga mkono, wanaokuchambua kwa haki, na wazalendo wa kweli katika taifa hili, wanauona umuhimu wa ukimya wako. Wengi wetu tunaumia tunaposhuhudia juhudi zako zikipuuzwa na baadhi ya sauti chache zenye chuki na misimamo isiyo na msingi. Lakini tunaamini, kama ilivyo daima, ukweli na mema ndivyo vitakavyoshinda.

Leo tunaanza mwezi wa Disemba, mwezi wa historia, uhuru na utambulisho wa Taifa letu. Namuomba Mwenyezi Mungu akupe utulivu zaidi, hekima zaidi, na nguvu zaidi katika majukumu yako. Akuweke mbali na fitna, na aibariki Tanzania katika safari yake ya amani, umoja na maendeleo kwa Waafrika wote.

Nakutakia kazi njema, heri ya mwezi huu wa Disemba, na heri ya maadhimisho ya Uhuru wa Tanzania.

Mzalendo kutoka Kivukoni,
Eng. Adam Magesa Ekingo

View attachment 3509769
Utter nonsense!
 
MSALITI mkubwa wewe
 
Aaaamina! Aaaamina! Aaaaaaaaaamiiiiina!! M/Mungu ataendelea kumbariki zaidi na Kila mbinu ya maadui, wakiongozwa na TEC, za kumkwamisha, M/Mungu atazisukumia baharini huko kama maji ya kituru Huku akiwaumbua mbele ya Kila mmoja wetu.🤲🤲🤲
 
Mheshimiwa Rais,

Nitangulize salamu za heshima na pole kwa majukumu yako mazito ya kulitumikia na kuliongoza taifa letu. Nikiwa kijana mzalendo, mkweli na asiye na mashaka juu ya uzalendo wangu kwa nchi hii, nimeona ni vyema kukuletea salamu na ujumbe maalumu tunapoanza mwezi huu wa Disemba,mwezi wenye kumbukumbu adhimu ya Uhuru wa Tanzania.

Mheshimiwa Samia, nakushukuru kwa ujasiri, utulivu na hekima unayoendelea kuonesha katika kipindi hiki ambacho kinahitaji moyo mpana na uvumilivu wa hali ya juu. Ni wachache wanaothubutu kupaza sauti za kutetea amani na ustawi jumuishi wa taifa, lakini bado umesimama kama kiongozi madhubuti anayelinda ustaarabu na umoja wa watanzania.

Kimya chako, Mheshimiwa, ni sauti yenye nguvu. Ni sauti inayotujenga na kutuongoza. Ni sauti inayotukumbusha umuhimu wa busara katika uongozi. Japo katika safari hii umekutana na maneno, kejeli na kashfa za kila aina ,kama ilivyo kwa viongozi wengi wakubwa wote wa hapa Tanzania na duniani, bado umesimama imara kama mama wa taifa, bila kuyumbishwa na misukosuko ya kila siku.

Tafadhali endelea na utulivu huo huo. Watanzania wanaokuunga mkono, wanaokuchambua kwa haki, na wazalendo wa kweli katika taifa hili, wanauona umuhimu wa ukimya wako. Wengi wetu tunaumia tunaposhuhudia juhudi zako zikipuuzwa na baadhi ya sauti chache zenye chuki na misimamo isiyo na msingi. Lakini tunaamini, kama ilivyo daima, ukweli na mema ndivyo vitakavyoshinda.

Leo tunaanza mwezi wa Disemba, mwezi wa historia, uhuru na utambulisho wa Taifa letu. Namuomba Mwenyezi Mungu akupe utulivu zaidi, hekima zaidi, na nguvu zaidi katika majukumu yako. Akuweke mbali na fitna, na aibariki Tanzania katika safari yake ya amani, umoja na maendeleo kwa Waafrika wote.

Nakutakia kazi njema, heri ya mwezi huu wa Disemba, na heri ya maadhimisho ya Uhuru wa Tanzania.

Mzalendo kutoka Kivukoni,
Eng. Adam Magesa Ekingo

View attachment 3509769
SALAMU KWAKO SAMIA
 
Weka ushahidi wa wapi kura 31m zimetokea. Hizo nyingine ulizoandika ni mbwembwe za kawaida.
 
Back
Top Bottom