salamu kwa mwalimu

mzushi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
3,094
Reaction score
4,256
Nasikia karibia uende alipo baba wa taifa,ukifika mpe barua hii:-
Dear Nyerere, tangu ufe mlima Kilimanjaro uko Kenya, ziwa Nyasa liko Malawi, Tanzanite iko Kenya, Tanesco ni ya Lowassa, Shekh Ponda ni IGP, na pia rais anaish Airport.na pia wanasema tanzania imetokana na visiwa vya pemba na zimbabwe ha ha
 
hahahaha! Hata jina lako hujakowea! Wewe kweli mzushi. lolz
 
mtaiua roho ya marehemu baba wa taifa na presha alishaga yasahau hayo
 

:biggrin1:
 

Tena wameiuza nchi na zaidi mpaka mifupa yako wanaiuza (kutembelea kaburi lako lazima utoe hela)
 
Presha inaweza imcxhukue kwa mara ya pili babu wa watu jamani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…