Mzalendowetu
Member
- May 22, 2012
- 87
- 34
Tangu kuanzishwa kwake, nimekuwa mfuasi mzuri wa kipindi cha MKASI kinachorushwa na kituo cha East Africa TV. Jumatatu akiwa anamhoji msanii Diamond, Salama Jabir alimuuliza msanii huyo, KWA MARA YA MWISHO UME-SEX LINI? Ikiwa hiyo haitoshi, akamuuliza HUWA UNATUMIA CONDOM AINA GANI? Pia, akamwamwambia NASIKIA UMEBARIKIWA KAMA PUNDA,,,,,NDIO MAANA WANAWAKE WENGI WANAKUFUATA,,,,,
Nilijiuliza maswali yafuatayo:
1. Inakuwaje Salama aulize maswali hayo bila kutumia tafsida?
2. Kipindi hiki ambacho hurushwa wakati wa prime time, muda ambao familia nyingi huwa (sitting room) nyumbani,
inakuwaje baba, mama na mtoto ambao walisikia kwa pamoja maswali hayo?
3. Lengo la Salama lilikuwa ni nini?
4. Kwanini tunakubali mila na desturi zetu kuziharibu namna hii kwa kuiga uzungu?
Tunakupenda, tunapenda ubunifu wako, tunathamini kipaji chako,,,,lakini tunakuomba ubadilike