Salam za sikukuu kwa viongozi wa serikali

Kajolijo

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,383
2,000
Kwanza nianze kuwapa pole kwa majukum yenu ya kila siku ya kujitoa na kupigania nchi hii na watanzania wote bila kujali dini, kabila, chama wala wanakotoka,
Pili nipende kuwatakia sikukuu njema za chrismas na mwaka mpya viongoz wote wa serikali ya tanzania popote mlipo Mungu aendelee kuwapgania na kuwaongoza ili mwaka ujao 2017 uwe mwema na wenye mafanikio sana viongozi wote wetu...
Kama na wewe una nia njema na taifa hili na n mzalendo wa kweli tafadhali usipite bila kuwatakia heri na kuwaombea viongoz wetu wote hawa wanaojitoa kwa ajili yetu hasa watu wa chini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom