Salaam

Mr wenu

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
1,088
Reaction score
1,666
Habari za mda huu waungwana wa jf.

1.
Napenda kutoa pongezi na salam zangu zote kwa member wote kwa kuwa na busara katika kuendea mada mbali mbali ambazo zinaletwa na member wote humu.

2.
Salaam zangu za pili ziwaendee warembo wote ambao hawapendi kutuchamba sisi wanaume humu hata kama tunawakua tumewakosea.

3.
Salaam zangu za tatu ziwafikie wananume wote ambao hujawa na jazba kwa vitu vidogo vya utani.

4.
Salaam zangu za NNE ziwafikie wanawake wote weusi ambao wapo humu,napenda kuwapa moyo kuwa wajikubali tu kwasababu hakuna namna ndivyo walivyotengenezwa na Mungu.

5.
Salaam za tano ziwafikie wananawake wote weupe ambao wanajiona n wazuri hata kama hawana sura nzuri Bali wanajipa moyo kwa rangi zao.

6.
Salaam zangu za sita ziwafikie wanaume ambao wanatafuta sixpack kwa nguvu ya kusaka madem na wanawake,napenda kuwaambia kua wanapoteza mda wao kwasababu wanawake wanapenda pochi sana kuliko wanachokitafuta.

7. Mwisho kabisa nawatakia heri ya mwaka Mpya 2018.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…