salaam zenu wanajf!!!

my judgement

Najua unataka kuniulizia masuala ya muungano ya Tanganyika & Zanzibar !
Hapa sio sehemu yake!
Subiria tume ya Warioba ikipita pande zako utachangia!
Huu uzi unahusu mimi , my wife Nasty na my Motherinlaw!
Muamkie basi Ma'mkwe wangu?
 
Mai Hun mekupata hivi muda huu ndiyo niko Mbezi kwa Yusufu , naja kwa gari binafsi !

Muume sikio Mama mzaa chema ugeni punde hivi !
Lile Jogoo uliloniambia msilielekeze kibla leo, lile mtanichinjia kesho J'2 , mi naja na Nyama nimeinunua pale
Mbande- Kongwa.
Nipe utaratibu wa malazi my WIFE .

Wewe unawaza malazi mchana wote huu haya mkuu.
 
Najua unataka kuniulizia masuala ya muungano ya Tanganyika & Zanzibar !
Hapa sio sehemu yake!
Subiria tume ya Warioba ikipita pande zako utachangia!
Huu uzi unahusu mimi , my wife Nasty na my Motherinlaw!
Muamkie basi Ma'mkwe wangu?

hahhahaaaaa loh!!!!!
Sikuwezi,
 
Back
Top Bottom