Salaam zako

Salaam zako

Mzee wa Shida

Member
Joined
Nov 29, 2014
Posts
66
Reaction score
5
Nimepewa salam zako na bwana SHAABAN,
anasema unasalimiwa na bwana RAMADHAN na
muda si mrefu atafika kwako akiongozana na
mkewe BI SWAUM wakiwa na watoto wao wa 3,
TAUBA, MAGHFIRA na REHHMA.
Hivyo watakaa kwako kwa muda wa mwezi 1,
baadae watafuatwa na mzee IDD ELFITRI.
Tafadhali ndugu yangu ugeni huu si wa mchezo
jitahidi kuwa mkarim juu yao kwani ujio wao ni
mwema kwako si unajua mgeni njoo mwenyeji
apone.
Kwa hiyo ujio wao utakufanya ujitakase, utubu
na utafanya mema kupitia wao, nakutakia
mandalizi mema katika kuwapokea wageni hao.
 
Amin....... Ndg yangu, karibu sana
 
dah,bora mtupunguzie mibanano kwenye mbuzi katoliki mkimpokea Huyo mgeni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom