Salaam za X- mas toka CCM UK

Salaam za X- mas toka CCM UK

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,578
[h=3][/h]
​
​
KHERI YA KRISMAS​

​
Chama cha Mapinduzi Uingereza kwa niaba ya Watanzania wote waishio hapa Uingereza, tunapenda kuchukua nafasi hii pekee katika kuufunga mwaka, kuwatakia Watanzania wote salaam za kheri ya Sikukuu ya Krismas na Mwaka Mpya.​

​
Ni imani yetu kwamba kwa pamoja tunaungana kusherekea Sikukuu hii ya Krismas na kupata fursa ya Kumkumbuka Mwenyezi Mungu kwa wale tuliobarikiwa kufikia fursa hii na kuimarisha Upendo na Amani miongoni mwetu sisi sote.​

​
Tunapofikia wakati huu wa sherehe za mwisho wa mwaka, hatuna budi basi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa nafasi yake ya Upendo aliyotupatia na kuwaombea kila mmoja wetu kadri ya hitaji lake na pia kuiombea Serikali yetu nyumbani ili iweze kufikia malengo ya kijamii iliyojiwekea.​

​

​
MUNGU IBARIKITANZANIA, MUNGU WABARIKI WATANZANIA​

​
Imeandaliwa na Idara ya Itikadi, Siasa na Uenezi.​

CHAMA CHA MAPINDUZI​
TAWI LA UNITED KINGDOM​
21 Desemba, 2012​

​

​
 
Ningezipokea kama kijijni kwangu mngeweka lami,elimu ya uhakika,YALE MABILIONI YA USWISI MNGEYARUDISHA,mafisadi mngewachukulia hatua,mngetimiza ahadi yenu ya maisha bora kwa kila mtanzania,na maisha ya walimu na ma dokta mngeyaweka vizuri vinginevyo SIHITAJI VISALAMU VYEMU....peleken u***** wenu hu!!!!! mbambafu!!!!!
 
wazugaji tu hao, wao wapo UK wakati huku kijijini maji hakuna, wala dawa muhumu, wameshashiba wasiburi bado siku chache chadema ingie magogoni
 
Wananchi mkoani Mbeya wamelalamikia hali ngumu ya uchumi nchini,wananchi hao wemalalamikia mfumo wa bei na kusikitishwa na uwezo mdogo wa serikali ya CCM kushindwa kujenga miundombinu imara ya kiuchumi kwa wafanyakazi na wakulima. (source:star tv) Siku hizi sikukuu ni kwa mafisadi wa EPA, RICHMOND, BOT, MEREMETA,KAGODA na wasafirishaji wa pembe za ndovu.

Wananchi masikini hawana hamasa kwani hawajui watakula nini,machozi ya watoto kulilia nguo mpya yanafuta raha ya sikukuu.
 
Mbona mpo hovyo kukaa kote UK bado hamjapata graphic designer mzuri wa kuweka hiyo nembo vyema?au ndio kuonesha kuwa fade in?

Wabeba mabox utawajua tuu hawana nafasi wala ufahamu wa mambo.Wanwahi kujpendekeza ili wapate gia ya kurudi bila passport. Nyie watu wenye lost ID si mseme tuu kuw amlizamia kwa meli, au kutokomea mitaani na kuharibu kila kitu sasa ndio nnajutia mlichofanya.

Bado kuondoa n ahizo tatoo zenu za wanawake wakiwa uchi vimeo nyie.
 
Chilisosi said:
Dah Hata heri ya christmass hamtaki? [...heri haipo hivyo binafsi sitaki maisha ya kusadikika wakati siwezi kuipata hiyo.Watu tuna babu zetu wamefungwa kwa kuwinda swala kwa ajiri ya kitoweo lakini,vigogo wa magamba wamesafirisha wanyamapori kupitia KIA na wanakula heri ya christmass.Labda kama mmegawiwa pembe za ndovu huko UK basi ninyi ndo mna heri ya christmass!
 
wananchi mkoani mbeya wamelalamikia hali ngumu ya uchumi nchini,wananchi hao wemalalamikia mfumo wa bei na kusikitishwa na uwezo mdogo wa serikali ya ccm kushindwa kujenga miundombinu imara ya kiuchumi kwa wafanyakazi na wakulima. (source:star tv) siku hizi sikukuu ni kwa mafisadi wa epa, richmond, bot, meremeta,kagoda na wasafirishaji wa pembe za ndovu.

Wananchi masikini hawana hamasa kwani hawajui watakula nini,machozi ya watoto kulilia nguo mpya yanafuta raha ya sikukuu.

  1. uwanja wa songwe
  2. kiwanda cha bia
  3. hali ya hewa inaruhusu kwa kilimo . We unatokea karatu nini?
vipo mbeya
 
Wanachama wa chama kile utawajua tu. Matusi kibao, ustaarabu hawana, hata kutakiana kheri kwao mwiko. Je! kwa tabia hii, magogoni inawezekana?????????????????????????????????????????????????/
 
Mbona mpo hovyo kukaa kote UK bado hamjapata graphic designer mzuri wa kuweka hiyo nembo vyema?au ndio kuonesha kuwa fade in?

Wabeba mabox utawajua tuu hawana nafasi wala ufahamu wa mambo.Wanwahi kujpendekeza ili wapate gia ya kurudi bila passport. Nyie watu wenye lost ID si mseme tuu kuw amlizamia kwa meli, au kutokomea mitaani na kuharibu kila kitu sasa ndio nnajutia mlichofanya.

Bado kuondoa n ahizo tatoo zenu za wanawake wakiwa uchi vimeo nyie.

index1.jpeg4.jpegindex.jpeg
 
Wananchi mkoani Mbeya wamelalamikia hali ngumu ya uchumi nchini,wananchi hao wemalalamikia mfumo wa bei na kusikitishwa na uwezo mdogo wa serikali ya CCM kushindwa kujenga miundombinu imara ya kiuchumi kwa wafanyakazi na wakulima. (source:star tv) Siku hizi sikukuu ni kwa mafisadi wa EPA, RICHMOND, BOT, MEREMETA,KAGODA na wasafirishaji wa pembe za ndovu.

Wananchi masikini hawana hamasa kwani hawajui watakula nini,machozi ya watoto kulilia nguo mpya yanafuta raha ya sikukuu.

View attachment 76618View attachment 76619View attachment 76621
 
  1. uwanja wa songwe
  2. kiwanda cha bia
  3. hali ya hewa inaruhusu kwa kilimo . We unatokea karatu nini?
vipo mbeya

haa!! Ati uwanja wa Songwe
bila uncle wangu kuwakomalia msingeujengaaaa!! Na hata hivyo n kodi zetu.
Angalia fikra zako finyu za CCM mapato kwenye bia, ati kiwanda cha bia nayo maendeleo ya kujivunia mtu aliyeko UK?? Au ukonga?? Ushindwe na ulegeee.
 
uwanja wenyewe ulishakuwa kama FAT enzi za Ndolanga na Rage.Contactor kafanya dample kwa muda wakutosha, kabla ya kukumbuhswa kuja ondoa uchfu n akutengeneza.Sikuwa ni memwona specimen ya ya kutestia polonium.Hiyo ni CCM watu wanafanyiw amajaribio ya kifo wakipona wanabembelezwa na wanalegea vibaya.
 
Ninyi wafuasi wa chama cha zamani mkiambiwa ukweli mnasema mmetukanwa. Mwalimu Nyerere na Joachim Chisano katika ripoti ya maendeleo ya nchi za kusini mwa afrika walisema maendeleo siyo viwanja vikubwa vya ndege,majumba makubwa mjini,barabara au njia ya reli bali ni namna gani wananchi wamefaidika navyo.Mwanzoni nimenukuu maoni ya wananchi wenyewe kupitia tv siyo mawazo yangu.Wao ndo wanalalamikia hali ngumu ya maisha inayowafanya washindwe kuona heri ya christmass.(*) UWANJA WA SONGWE-umewainuaje wananchi masikini? Ili kuinua bei ya mahindi,mchele au viazi tunahitaji kurahisisha usafirishaji toka vijijini.Ziko wapi feeder roads kutoka Mwakaleli,Lufilyo,Lufingo,Matema,Mbozi,umarirani,Chunya na Usangu kuunganisha main road hadi songwe? Mbeya is a potential region for agriculture not alcoholism so figure out strategic economic infrastructures which benefits the majority.Wananchi wanataka zana bora za kilimo toka kiwanda cha ZZK mlichokifirisi na kutaka kukigeuza kuwa kiwanda cha pombe.
 
ninyi wafuasi wa chama cha zamani mkiambiwa ukweli mnasema mmetukanwa. Mwalimu nyerere na joachim chisano katika ripoti ya maendeleo ya nchi za kusini mwa afrika walisema maendeleo siyo viwanja vikubwa vya ndege,majumba makubwa mjini,barabara au njia ya reli bali ni namna gani wananchi wamefaidika navyo.mwanzoni nimenukuu maoni ya wananchi wenyewe kupitia tv siyo mawazo yangu.wao ndo wanalalamikia hali ngumu ya maisha inayowafanya washindwe kuona heri ya christmass.(*) uwanja wa songwe-umewainuaje wananchi masikini? Ili kuinua bei ya mahindi,mchele au viazi tunahitaji kurahisisha usafirishaji toka vijijini.ziko wapi feeder roads kutoka mwakaleli,lufilyo,lufingo,matema,mbozi,umarirani,chunya na usangu kuunganisha main road hadi songwe? Mbeya is a potential region for agriculture not alcoholism so figure out strategic economic infrastructures which benefits the majority.wananchi wanataka zana bora za kilimo toka kiwanda cha zzk mlichokifirisi na kutaka kukigeuza kuwa kiwanda cha pombe.

hizo barabara zipo chini ya halmashauri. Kamuone mkurugenzi sio unapayuka . Wakati ujui majukumu ya halmashauri na watendaji ambao ni madiwani
 
haa!! Ati uwanja wa songwe
bila uncle wangu kuwakomalia msingeujengaaaa!! Na hata hivyo n kodi zetu.
Angalia fikra zako finyu za ccm mapato kwenye bia, ati kiwanda cha bia nayo maendeleo ya kujivunia mtu aliyeko uk?? Au ukonga?? Ushindwe na ulegeee.
kitatoa ajira kwa mashamba ya shiiri na ajira za kiwandani 3000. Ajira uwanja wa ndege kwa air hostes. Mama ntilie , usafiri wa magari kwenda kiwandani, na maendeleo maeneo ya nayozunguka kiwanda
 
Back
Top Bottom