Labda ni mpya kwako tu na sio kwa wote,halafu hukusema ni waarabu wa wapi? Coz sio waarabu wote hua wana hiyo style ya Nose kissing.
Hahahahahahahahahaha hatare sana bora tuwaachie wenyewe mkuu.. kibongo bongo ni changamotona midomo yetu hii ya kibongo mlo mmoja kwa siku na dawa feki za meno za kichina nadhani hapo utakua UJINGA KWETU
Kuambukizana tu maradhi .Mpya kwako
siku zote wanasalimiana hivyo
Uwiiii mbavu zangu malizia kabisa na pombe zetu chipunguna midomo yetu hii ya kibongo mlo mmoja kwa siku na dawa feki za meno za kichina nadhani hapo utakua UJINGA KWETU