Salaam kwako ndugu Humphrey Polepole!

Mahanju ukitaka kuuliza jamii ijifunze nini toka kwa yasemwayo vs kutendwa, nafikiri utaumiza kichwa yako bure. Jamii ilishapata somo looong time kuwa Tz ni Taifa lenye siasa za kinafiki na njaa ndio tatizo kubwa sana. Kuanzia kelele za mrahaba ktk madini, list of shame, kiongozi legelege, na kuendelea...
 
Ukijifanya una KADOMODOMO Sana tunakupa ULAJI tuone kama utaendeleza KAMDOMO kako!
 
Huyu alishakuwa compromised tayari. Wenzenu tumeshamweka katika makavazi ya historia!
 


Wivu wa Kike. Katiba inayotumika sasa ni ya mwaka 77. Wewe unavyoishi pia ni kwa kutumia katiba hiyo hiyo ya 77. Mbona wewe hujahama nchi kama unaona ni rahisi huyu mtu ku-resign kwa kitu ambacho ni heshima kubwa sana ya kumsaidia Rais? Mko out of point. Katiba mpya ingekuwa imepita na rais akaamua kuteua wakuu wa wilaya ambao hawapo kikatiba hapo mlikuwa na hoja na sii huu upupu wenu. Narudia tena. WIVU WA KIKE.
 
Hii adithi kamuulize Mbowe, Mnyika, kubenea, Lissu, Heche, Khalima mdee kuhusu Lowassa waliyemwita fisadi na shetani leo amekuwa malaika na kamanda? Ndipo urudi huko mbona unataka kuondoa kibanzi wakt usoni kwako kumejaa boriti? Cdm bhana
 
kanuni ya siasa ina usemi mmoja kuwa "Fuata maneno yangu, usifuate vitendo vyake" na itikadi ya kijamii ni kuwa kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe. Endelea kumfanya role model wako kwa maneno yake na si vitendo vyake.
 
Jipu huwezi jikamua mwenyewe linaumaa
 
leta mada za kimaendeleo na sio kumjadili mtu, great thinkers hatuwezi kukaa tunajadili mtu, tunajadili hoja
Kwani hizo hoja za maendeleo unazotaka haziwahusishi watu?Maendeleo ni watu na huwezi kujadili maendeleo bila kumhusisha mhusika ambaye ni mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…