Salaam kwa wana jf

Salaam kwa wana jf

Babamu

Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
10
Reaction score
1
Amani juu yenu,

Mimi ni mpya katika wana JF, naomba munipokee kwa mikono yenu kwa leo sina mengi ila kuwajuilisha mwanachama mpya nimeingia jamvini.
 
Karibuuuuuu sana..utapenda uwepo wako hapa!! feel at home babamu..
 
Karibu! Lakini mbona yaonekana hujatimiza masharti ? Au hukusoma vizuri guide rules? Kwamba thread/post yako ya kwanza unatakiwa ui'send ukiwa umevua viatu? Na ukiipost huku umevaa viatu huku sisi kuna sensor inatuonesha. Sasa haraka vua viatu alafu urudie kuituma tena, hayaa- hayaa chemka!
 
Amani juu yenu,

Mimi ni mpya katika wana JF, naomba munipokee kwa mikono yenu kwa leo sina mengi ila kuwajuilisha mwanachama mpya nimeingia jamvini.

wewe mpya?
mbona huna kamba mguuni mkuu?
Anyway welcome mdau!
 
Well karibu kwani ninapoona mnaingia watu wapya nafurahi nikitaraji kujifunza na kuapata mengi mazuri kutoka kwenu
 
Back
Top Bottom