JK hana lolote, ni rais anayependa sifa, mtaona hii miaka mitano.
Barabara za juu wanahamisha matatizo, ukiweka flyover ubungo unahamishia foleni Shekilango, kwa flow ya magari kwa sasa inakuwabalanced na jam ya ubungo. Labda aweke barabara za juu kote.
JK anajenga uwanja wa ndende wa kimataifa bagamoyo, anaacha KIA inakufa na Mwanza, hii akili au sifa za kijinga.
JK anataka kujenga bandari bagamoyo badala ya mtwara, hii akili matope? Wakati target yetu ingekuwa nchi za rwanda, burundi na Congo, hivyo kusini kungefaa sana.
Mawazo mgando yanatumaliza watanzania