Salaam kutoka Kuzimu

asante sana kwa maziwa nahisi nitanenepa bestito
sasa hayo maziwa nitayapata wapi humu ndani jf au?

kule nitakwenda kwa kubeep kwani nazitamani sana zile
posho za bungeni zinanipa mhemko besti nifanyaje?

Tutaongea kuhusu maziwa, ila kwa shida ulizopata kule inabidi ata niwe nakuletea

Posho waachie wenyewe ukitokeza wewe watakusababishia yale yale
 
nasubiria kuletewa sijui wapi itakuwa?
na posho nitawaachia wenyewe
ila kule nitakwenda kubeep kidogo kwani nimemiss chabruma.

Tutaongea kuhusu maziwa, ila kwa shida ulizopata kule inabidi ata niwe nakuletea

Posho waachie wenyewe ukitokeza wewe watakusababishia yale yale
 
YAONESHA UNANIJALI MSALIMIE Excel
wooooooooow!

jamani ladyfurahia, nilikumiss mpaka nikaumwa yani... nilitamani sana nikufuate huko mama!!

pole sana kwa majanga yaliyokukuta!!!

huwezi amini nilivyostuka niliposkia sauti yako ikiniita!

welcome back sweetheart.....!

 
Last edited by a moderator:
thanks bestito
a'm here niko free nimefurahia sana huu wimbo ulionitumia
asante sana nashukuru kwa yote kule lupango kubaya sana
yaani mm nilipewa jukumu la kupaka rangi madirisha yote
yaliyokuwa na kutu kazi ilikuwa ngumu sana sikuiweza
ikabidi wanibadilishie kazi ingine ya kufanya nikawa na
naandika script za jf ili tukitoka hukko tuwe na tamthiliya
ya kuonesha wale wasioenda lupango (ban) waje waone
niko hatua ya mwisho namalizia kisha nitaileta hapa jamvini

wooooooooow!

jamani ladyfurahia, nilikumiss mpaka nikaumwa yani... nilitamani sana nikufuate huko mama!!

pole sana kwa majanga yaliyokukuta!!!

huwezi amini nilivyostuka niliposkia sauti yako ikiniita!

welcome back sweetheart.....!

 
Last edited by a moderator:
nipo mkuu kuna mtu ameniudhi sana hapa mjengoni asubuhi hii yaani sijui nimfanyeje huyu mtu
watu wengine wanapenda ugomvi ahapa mjengoni sipendi kabisa ameniudhi na kuniharibia siku
Nlikutafuta kwenye meseji, haupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…