Salaam kutoka Kuzimu

Hilo neno tu limenikosha sana charminglady hadi hasira kwa Chocs zimeniisha...!

Yaaaalaaaahhh.... Hii NOKLA screeh touch mbona inataka kuniumbua live bila chenga?? Mwezi mzima bado sijaizoea khaaaa. . Jerrymsigwa hebu njoo uchukue kimeo chako kinataka kuniumbua aisee!!!
 
Last edited by a moderator:

I will take care of you my lady.
 

Kwanza pole sana kwa hayo, nakupa offer ya lita moja ya maziwa kila asubuhi mpka utakapo kua fit.
Naamini hutaenda tena kule...
 
asante sana kwa maziwa nahisi nitanenepa bestito
sasa hayo maziwa nitayapata wapi humu ndani jf au?

kule nitakwenda kwa kubeep kwani nazitamani sana zile
posho za bungeni zinanipa mhemko besti nifanyaje?

Kwanza pole sana kwa hayo, nakupa offer ya lita moja ya maziwa kila asubuhi mpka utakapo kua fit.
Naamini hutaenda tena kule...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…