Ben Mugashe
JF-Expert Member
- Oct 9, 2008
- 999
- 618
hivi siku hizi anatumia id gani? kuna memba unakuta mgeni lakini anakufahamu vema.
hivi wewe ni kaka yake Polisi?
Maana picha zenu zinafanana sana.
charminglady umedanganya upo baby lounge basi nilikuwa tilapia kwa haraka nikawahi nije ,,hola aaa patupu,mi nimeondoka sasa
Hilo neno tu limenikosha sana charminglady hadi hasira kwa Chocs zimeniisha...!Chimbuvu & Chocs mna ajenda gani hapa?? Ngoja nimuote kaka yangu Erickb52 aje anifafanulie make siwaelewi elewi...
Afu ladyfurahia atakuwepoa hapa Kesho... Pia kutakuwa na party ya kumkaribisha tena Mjengono....
Chimbuvu & Chocs mna ajenda gani hapa?? Ngoja nimuote kaka yangu Erickb52 aje anifafanulie make siwaelewi elewi...
Afu ladyfurahia atakuwepoa hapa Kesho... Pia kutakuwa na party ya kumkaribisha tena Mjengono....
jamani ladyfurahia pole daah !! imeniuma aisee
nimetia timu sasa hivi best nashukuru Mungu amenisaidia
Nmekusubiri kwa hamu kweli yaani, salam zangu umepata?
Cc. ladyfurahia
nimezipata amenipa charminglady nashukuru
Ataingia lini dar?
Nashukuru kama ulipata, have you opened for me?
ndo nimeshaingia kwa usafiri wa UNGOJET
hebu niambie ulikokua kwanza, huwezi kuondoka bila kuaga ivo dada