CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
charminglady kafanyaje mpendwa wetu tena ? ninavyo mjua huyu ladyfurahia hana tabia kama za mzee Baba VMupooooo.....
WanaCC napenda kuwaletea salamu nyiiingi kutoka kwenye Server za JF, dada yetu, rafiki yetu na mwana CC mwenzetu ladyfurahia nawasalimu sana....
Kawamiss kinoma yaan... Ila thanks God siku hazigandi soon atafufuka...
Wale waliomsababishia BAN amewasamehe na anawaombea ili siku moja nao warestishwe kwenye server ya JF.... Ili waonje joto la jiwe.....
Wasalaam
CL
KNY ya ladyfurahia
Kwavile anazidi kutuma habari za "uchochezi" kuna haja ya mods kumfikiria zaidi juu ya kifungo chake ili kiongezwe......
Mupooooo.....

charminglady kafanyaje mpendwa wetu tena ? ninavyo mjua huyu ladyfurahia hana tabia kama za mzee Baba V
Kwavile anazidi kutuma habari za "uchochezi" kuna haja ya mods kumfikiria zaidi juu ya kifungo chake ili kiongezwe......
charminglady umedanganya upo baby lounge basi nilikuwa tilapia kwa haraka nikawahi nije ,,hola aaa patupu,mi nimeondoka sasa
Hivi ajakutana huko na Ndugu yangu Bukwimba?
My boss charminglady mshauri yeye awe wa kwanza kuomba msamaha kwa mods au uongozi wa jf kupitia email(support@jamiiforums.com.Soon atarudi mkuu... Hebu ngoja tuwaombe mods wamuhurumie!!!
Me sijambo sana my boss sijui weye. Alaf nataka nikija Mwanza unipeleke kwa jamaa mmoja anaitwa.Ngoja nitamuuliza... BTW hujambo my Lawyer???
Pole ladyfurahia. Ila haya mawazo yaloletwa hapa ya 'kumsababishia' mtu BAN siyaelewi. Njia pekee ya kumsababishia mtumtu ban ni kumripoti kwa mods, na mods wakiona ipo sababu ya kutosha, hutoa ban. Kwa hiyo msababisha ban siyo aliyeripoti ila huyo aliyeripotiwa! WanaJF, tujitahidi kutii sharia na kanuni za JF. Ukiona mtu ana kilomolomo sana na maneno makali, mtupe kwenye ignorelist yako asikuchose.Mupooooo.....