SALAAM kutoka jikoni


Hakuna lisilowekana kwake indicator ni uchaguzi wa Igunga, ndio maana wameanza kutifuana, angalia ya B Malisa Arusha, MUNGU ANAWAFITINISHA, asante
 
CCM haiwezi kuondoka madarakani kwa watu kuchangia mawazo pekee kwenye jf bali kupiga kura somo igunga most ya vijana Tz ni wanafki na wanapenda kusema sana kura 0.
 
Hii post haina ukweli wowote, ina lengo la kuchonganisha ccm na wananchi wake.

Kuweni makini sana ndg zanguni.
 
Soma katika biblia Kutoka 23: 29 - 30, Mungu anasema sitawafukuza wageni ( CCM ) katika mwaka mmoja, nchi isiye ukiwa na wanyama wa bara( mafisadi ) wakaongezeka na kukusumbua, 30. Nitawafukuza kidogo kidogo hata utakapoongezeka wewe ( Viongozi wenye uelewa) na kurithi hiyo nchi. ( Tanzania)

Kulingana na mistari hiyo hapo juu, kuondoka kwa CCM madarakani kutategemea viongozi mbadala toka vyama vya upinzani, ambao wana uchungu wa kweli, wenye ushawishi na kufafanua sera zao kwa ufasaha. Hapo ndipo watu wataachana na propaganda za CCM.
 

mnafiki tu, hajalisaidia taifa wakati alipokuwa na nafasi ya kuleta heshima. Tuzo ya dowans leo tunapiga kelele, mwakyembe na kamati yake wanahusika sana, kwani walificha baadhi ya taarifa mhimu kwa kuogopa eti serikali kuanguka.
Shame on mwakyembe and his commission. Zake zimefika kwa kuwagharimu watanzania
 

Tutakumiss kwa thread zako zenye uzushi kama hii ya kuagia. Safari njema!
 

Nakubaliana na wewe ila punguza hasira mkuu, huyu kama kweli anao ushihidi na kama kweli analitakia mema taifa hili kwa nini afiche ukweli kuwalinda hao watu wanne ilihali kwa mujibu wa taarifa yake ni wengi watakuja kuuwawa, kwa nini asiweke habari hiyo hadharani na awe shujaa kwa kuokoa maisha ya watu wengi ambao watakufa bila hatia yoyote?
 
CCM haiwezi kuondoka madarakani kwa watu kuchangia mawazo pekee kwenye jf bali kupiga kura somo igunga most ya vijana Tz ni wanafki na wanapenda kusema sana kura 0.

Umeligundua hilo?
 

No wonder amenenepeana hovyo, kumbe ni kwa sababu ya stress na depression
 
Mbona hii wiki habari za kupika zimekua nyingi sana what is wrong?.kuna na yule mwingine naye ametuadikia habari ya polonium bila hata kuresearch hiyo kitu.sijui wanadhani wote humu ni mafailure(tamka ****)
 

Hizi habari zako ziwe za ukweli au uongo nia yako ni kuwafundisha watu uoga,hatudanganyiki tutasonga mbele hata Kama mngesema mmeandaa vifaru vya jeshi kwa ajili ya wananchi.
 
Kwani hawa wamepata habari kuwa Yesu ameghairi kurudi au?
 
[......................Tunajua yote kwa taarifa yako, endelea na utaona jibu lake muda si mrefu, mnafki wewe!!! ]
Wewe uko upande gani mwenzetu? Mbona unatuchanganya? Au wewe ndio mtekelezaji wa mambo!! Aliyosema yanatosha, tena kaaga kwenda mapumziko! Sasa unataka aendelee na nini na kama ni ujumbe keshawakilisha! Kazi ni kutafakari na Kuchanganua na kuona UKWELI na UPUUZI kama upo!!!
 
Ndio maana Mzee Warioba anaropoka kinoma kuwakandia CDM kwa kigezo cha kutoa maoni kuhusu issue flan, Lakini wajue kua hakuna marefu yasiyo na ncha, hata Gaddafi hakufikiria kuondoka madarkani lkini leo yuko wapi, na ndiye aliwatendea mazuri watu wake, sembuse hawa mafisadi! Time wii tell!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…