Elections 2010 Sala ya kuombea ulinzi kura

Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
298
Ee Mungu, mweza wa yote, muumba wa mbingu na nchi. Najinyenyekeza mbele zako kwani najua we ni mkuu haufananishwi na chochote.

Naomba uifanye kura yangu sawa na kaa la moto kwa wale watakaotaka kuiba kura yangu.
Wapofushe, wachanganyikiwe; walaaniwe (Kumbukumbu 27:17)
Uzao wao ulaaniwe, wawe mazezeta.

Mungu unilindie kura yangu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom