Yeboyebo Std
Member
- Feb 1, 2012
- 30
- 3
katiba izingatiwe kwa wenye mamlaka ya nchi,la sivyo mauaji yataendelea kutokea.naomba niwakumbushe nchi haina dini ila watu wake ndio wenye dini tusichanganye dini kwenye masuala ya nchi
Mkuu nikisema sikosa lako kwasabau hatadini huijui walioifikisha nchi hapa niviongozi ambao hawaijui dini, au kwamakusudi,tama, hawaifati dini.
kumbuka anaeishi bila kufata talatibu na sheria anakosa baraka (analaniwa) tunayoyapitia ni matunda tuliyopanda
Jitafakali na andiko hilo chini kama nimekosea kumtaja mngu
EWE MWANA WA KUWA
Nitaje mimi katika dunia yangu ili niweze kukukumbuka katika mbingu yangu. Ndipo macho yangu na yako yatakapopata faraja
Tembea katika sheria zangu kwa ajili ya upendo wangu na jinyime kile unachokipenda kama unatafuta rihdaa yanguu.
binadamu usipo pata chakula utazofika kumbuka hauna mwili tuu unaroho umewai jiuliza chakula cha roho ni nini?
mkuu ni SALA. (sala ni kiunganishi cha binadam na mngu)
Ukikosa sifa za kiroho iwe nikiongozi au mwananchi. kiongozi, (utakosa sifa kushindwa kuongoza) mwananchi walio katana mapanga wengine sioviongozi tatizo wamekosa sifa za kiroho (roho inaitaji chakula) sala na mafundisho ya mngu mngu ni umoja na upendo.
Jiulize nimungu yupi wanaye gombeyana.
Utajengeje misingi bila kumjuwa mngu