Sala ya kuiombea Tanzania dini zote

Sala ya kuiombea Tanzania dini zote

Status
Not open for further replies.

Mufiyakicheko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
892
Reaction score
86
Jf kwanza nitoe pole kwa misukosuko na migogoro iliyo tukuta mauaji,ajali,kutofautina kiimani nakisiasa,nk.

Kilicho nisukuma kuanzisha huu uzi nisintofahamu iliyo tokeya ya nani mwenye haki ya kuchinja wanyama iliyo sababisha kupoteza maisha ya mtumishi wa Mungu najamaa zetu kadhaa kuumizwa.

Ndugu zangu wote naomba bila kujali dini,imani Vyama tuiombee nchi yetu

Wahindu
Wayahudi
Wazoroastrian
WaBuddhism
Wakristo
Waislamu
Wababi
Wabahai
Wanao abudu mila,nk
Namazehebu yao yote

kila mumoja asali kuomba amani utengamano wa nnchi yetu bila amani hatuwezi endesha ibada zetu usiingize kitu kingine zaidi ya sala,maombi asante.

SALA YA UMOJA
Ewe mngu mwema! Umewaumba wanadamu wote kutokana na wazazi wamoja, umekusudia kuwa wote wawe jamii ya nyumba moja, na mbele ya utakatifu wako wote ni watumishi wako, na wanadamu wanalindwa chini ya hema lako, takatifu.

Watoto wako wamekusanyika kwenye meza yako ya ukarimu uwang'alishe kwa mwangaza wako kwa neema yako ee mungu! Wewe u mwema kwa wote, umewajalia, umewalinda, umewapa uzima wote. Kila mnyenyekevu amepewa uwezo wa akili nakuzamiswa kwenye rehema ya bahari ya rehema yako ewe mungu mkarimu! Waunganishe watumishi (wanadam) wako tushike mkino tumepotoka,vipofu,hatupo kwenye ukwli wako katika kila nchi acha dini mbalimbali zipatane,yafanye mataifa yawe taifa moja ili wajione ukoo mmja, wanadamu washirikiane kwania njema ya umoja na kukuabudu wewe.

Ee mungu ikweze bedera ya umoja wa wanadamu.
Ee mungu! Usimamishe imani kuu. Ee mungu! Unganisha mioyo yetu iwe moyo mmoja. Ee baba mwema! Tuburudishe kwa manukato ya upendo wako angaza macho yetu kwa mwangaza wa uongozi wako yachangamshe masikio yetu kwasauti tamu ya neno lako, na utulinde katika kimbilio la neema yako. Wewe u mwenye uwezo, mwenye nguvu.
Wewe u msamehevu na wewe ni yule ambaye anasamehe makosa ya wanadamu. Kilio chetu,ni amani,upendo, tupe unyenyekevu

MUNGU NI MTUKUFU KABISA

Utawala imenilazimu kuiweka jukwa la siasa kufatana na tulipo fikia chonde chonde naomba usiingize mambo mengine zaidi ya SALA asante
 
Hatuhitaji sala wala dua yoyote, tunataka serikali inayoweza kulinda na kusimamia uhuru na haki za watu wote ktk nchi hii kama tulivyokubaliana ktk katiba. Hakuna short-cut za dua wala swala zitakazozaa matunda.
 
ninauhakika yote yanayo tukumba nikuto kueshim utalatibu,mifumo,tulio wekewa na mungu,au kujiwekea wenyewe kuishi

Ee mungu wangu ee mungu wangu! Unganisha mioyo watu wako tulio poteana utufunulie kusudi lako lililo kuu. Tufuate amri zako (upendo) na kukaa katika sheria yako.

Utusaidie ee mungu katika jitihada zetu na utupe nguvu kukutumikia wewe. ee mungu,usituache pekeke yetu bali utuongoze hatuwa zetu kwa nuru ya maarifa yako, hakika wewe ndiwe msaidizi na mungu wetu

MUNGU NI MTUKUFU KABISA
 
kwa nini unabadilisha na kuongeza maneno yaliyomo kwenye hizo sala?
 
msilete injili kwenye maswala mazito mazito mungu akishakupa akili amemaliza ni juu ya kuzitumia,na safari watanzania tutakoma mungu usitunusuru maana tu wapuuzi
 
Mungu hashughuliki na mambo ya kipuuzi. Unaentertain (Tunaentertain) ujinga kwa faida za kisiasa halafu unakuja kusema "Eee Mungu......!" Sifuri kabisa!! Mungu hashughuliki na ujinga. Angalia ulipokosea solve then mwombe Mungu msamaha kwa ujinga/upuuzi ulioufanya.

Wewe ni mwepesi tu wa kuruka roho!!! Nchi hii ina matatizo kibao, umasikini, magonjwa, njaa, miundo mbinu hafifu, nishati ya mashaka.... solve your problems. Tanzania haitengenezi prosesa za kompyuta... what do you do? Learn.

Hey man, be man (sorry for the ladies) and solve your problems.

HATUHITAJI KUMLILIA MUNGU KWA SUALA HILI KWA KUWA TUMEZEMBEA KUTIMIZA WAJIBU ULIO NDANI YA UWEZO WETU. TUNAHITAJI KUJENGA MISINGI IMARA YA KITAIFA ILI NCHI IJIENDESHE AUTONOMOUSLY KATIKA MAMBO KAMA HAYA.

NASISITIZA YANAYOTOKEA YAKO NDANI YA UWEZO WETU (PIA NI UPUUZI WETU WENYEWE) NA MUNGU HATOYASHUGHULIKIA.

DINI DINI DINI DINI DINI, DINI NDIYO NINI? ACHENI UJINGA BANA, NINYI HAMNA KAZI ZA KUFANYA!! NCHI MASIKINI HII MNAISHIA KUONGEA TUUUUUU!!! PWA PWA PWA PWA!!

NGOJA NIKAPATE HEWA NJE!!!
 
Mkuu nikisema sikosa lako kwasabau hatadini huijui walioifikisha nchi hapa niviongozi ambao hawaijui dini, au kwamakusudi,tama, hawaifati dini.
kumbuka anaeishi bila kufata talatibu na sheria anakosa baraka (analaniwa) tunayoyapitia ni matunda tuliyopanda

Jitafakali na andiko hilo chini kama nimekosea kumtaja mngu

EWE MWANA WA KUWA
Nitaje mimi katika dunia yangu ili niweze kukukumbuka katika mbingu yangu. Ndipo macho yangu na yako yatakapopata faraja

Tembea katika sheria zangu kwa ajili ya upendo wangu na jinyime kile unachokipenda kama unatafuta rihdaa yanguu.

binadamu usipo pata chakula utazofika kumbuka hauna mwili tuu unaroho umewai jiuliza chakula cha roho ni nini?
mkuu ni SALA. (sala ni kiunganishi cha binadam na mngu)
Ukikosa sifa za kiroho iwe nikiongozi au mwananchi. kiongozi, (utakosa sifa kushindwa kuongoza) mwananchi walio katana mapanga wengine sioviongozi tatizo wamekosa sifa za kiroho (roho inaitaji chakula) sala na mafundisho ya mngu mngu ni umoja na upendo.
Jiulize nimungu yupi wanaye gombeyana.

Utajengeje misingi bila kumjuwa mngu
 
jamani mungu atusaidie tumedumu kwa amani muda mrefu Tanzania lakini kwa sasa nchi inakoelekea ni kubaya hebu tufikirie kizazi kijacho mambo yatakuaje kama kwa sasa hali ni hii,,kweli kuna uhaja wa mtu kufariki ati kisa mabishano ya kuchinja vitoweo?tusitake kuibomoa nchi yetu kwa mambo ambayo ni aibu hata kuyadiscuss international
 
Mkuu ni wachache wanao yaona hayo ingawa wanamacho tuzidi kumuomba mngu atuzidishie hekima
 
Serikali ninayoitaka na ninayoipenda na ile iliyofanikiwa ni ile ambayo Haina Dini bali inafuata sheria kulingana kwa yoyote atakayekiuka au kuharibu mali za wengine.., issue za imani ziendelee kufanyika makanisani na misikitini
 
msilete injili kwenye maswala mazito mazito mungu akishakupa akili amemaliza ni juu ya kuzitumia,na safari watanzania tutakoma mungu usitunusuru maana tu wapuuzi

Mngu hawezi kumnusuru mwenye kibuli anamunusuru anaye jishusha,hekima, na anayemulilia
 
msilete injili kwenye maswala mazito mazito mungu akishakupa akili amemaliza ni juu ya kuzitumia,na safari watanzania tutakoma mungu usitunusuru maana tu wapuuzi

kumbe na wewe uko kwenye dini yangu mkuu. Kila kitu tunamsingizia Mungu!
 
nchi yetu ilipata laana baada ya mwarabu kuja na meli na kumwaga sumu hapa kwenye nchi yetu! Ni ngumu kuamini lakini ukweli ni kwamba palipo na uis...m subirini majanga mazito, nafika mahali najuta kwa nini nilizaliwa kwenye nchii hii.
 
hukuzalia tanzania ili ujute
 
kumbe na wewe uko kwenye dini yangu mkuu. Kila kitu tunamsingizia Mungu!

mkuu wengi wetu tusipopata tatizo tuna msahau mngu tunakumbuka kumtaja,kuomba,tukipata tatizo. hapo anapo anza kutajwa tofautisha na kumsingizia
 
kumbe na wewe uko kwenye dini yangu mkuu. Kila kitu tunamsingizia Mungu!
mungu amewaumba watu waishi kwa raha na furaha chochote tofauti tunasababisha sisi,halafu utasikia ni mipango ya mungu.mfano inatokea ajali mbaya wanasema ni mipango ya mungu halafu wanamchukua dereva wanamfunga jela wanasahau kama ni mipango ya mungu.na tangu lini mungu amekuwa mafia mpaka apange mipango ya kijinga.
 
Mngu hawezi kumnusuru mwenye kibuli anamunusuru anaye jishusha,hekima, na anayemulilia
na hata nikimlilia sitamlilia kupitia dini zenu za kukatana mapanga kwa kugombea nyama mlaaniwe kwa kuiaibisha nchi yetu,
 
na hata nikimlilia sitamlilia kupitia dini zenu za kukatana mapanga kwa kugombea nyama mlaaniwe kwa kuiaibisha nchi yetu,

mkuu mada ni sala ya kuiombea tz dini zote

nimeziandika kwakukusaidia unavyo chagia
Hujui imani za watu jf dini2 ndozenye kugombana

Kuhusu kulaaniwa sii kazi ya binaadam
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom