Sala kabla ya tendo la ndoa...

Take it easy my King!!!!!!!!!!
daaaaaaaahhh basi hapo grafani11 sio kujidai huko...........jamani grafani11 me missin you a lot ila sema hiyo jana nilishindwa kukuquote kwenye ile thread ya kijana mtata,maanake baada ya muda fulani niliikosa naona mamods waliiondoa fasta,niambie besti u hali gani weye?
 
Last edited by a moderator:
Mimi nikama ulivyoniacha ila sema tu nilikosa kampani yako ya michango yenye ujazo mithili ya nondo ya kujengea ghorofa.

Ulipotelea wapi mdau mpaka watu tunakutafuta hivyo?
 
Last edited by a moderator:

hahaaa mwache tu kijana ajidai
yuko na Heaven on earth!!!!!!!!!!!!!!!!!

umenitisha hapo kwenye hiyo red mie
 
Last edited by a moderator:

Umenena vyema, kwa waislam wao ni kitu cha kawaida, wanaume wanajuwa wajibu wao labda waamue kuchakachua. Kabla ya kufanya tendo la ndoa kuna sala maaalum/maneno anatamka mwanaume kabla ya tendo hilo. Sala haiwahusu wafilaji, vidumu na nyumba ndogo ial kwa MKE WA NDOA.

Kwa wakristu sina ufahamu mzuri.

Blessings!
 
haaaaaaaaahaaaaaaaaahaaaaaaaaaa jamani grafani11 weye mkorofi weye,maanake hayo maneno yako ka vile waimba ngonjera,mie nilikuwepo tu mkuu sema tu vishughuli fulani vinendelea na vinanibana ile mbaya so usishangae kuona hata sasa nikapotea kwa kipindi fulani.
Mimi nikama ulivyoniacha ila sema tu nilikosa kampani yako ya michango yenye ujazo mithili ya nondo ya kujengea ghorofa.

Ulipotelea wapi mdau mpaka watu tunakutafuta hivyo?
 
Last edited by a moderator:
jamani we Heaven on earth wewe!!!wala usijali na wala usihofu shaka ondoa kabisa grafani ni swahiba sana tu tena hata ukipenda mi naweza jitolea kukulindia kifaa chako maanake na ye grafani saa zingine mmhhhhh ngoja nimtunzie siri swahiba naomba usiniulize maswali Heaven on earth coz mi ntakosa cha kujibu ujue maanke mi huwa nna kkigugumizi.
hahaaa mwache tu kijana ajidai
yuko na Heaven on earth!!!!!!!!!!!!!!!!!

umenitisha hapo kwenye hiyo red mie
 
Last edited by a moderator:
Ngoja ukirudi tena rasmi nitakuletea vitu vipya (mambo yetu yale) nilivyovipata nikiwa safarini.

Najua wewe hukawii kunipiga madongo hasa kuhusu vionjo vyangu vile, lakini madongo yako huwa yananifurahisha tu.
 
Last edited by a moderator:

hapa ndio umeniacha na maswali mengi sana kuhusu huyu mfalme wangu,

naomba tu niyaulize,hiko kigugumizi ntakivumilia tu...........
grafani11 naomba uje ujibu hizi tuhuma huku
 
Last edited by a moderator:
hahaaa mwache tu kijana ajidai
yuko na Heaven on earth!!!!!!!!!!!!!!!!!

umenitisha hapo kwenye hiyo red mie
Usihofu Malkia wangu, Blue G ni dada yangu wa kwanza kwanza kumpata humu JF. Huyu ni mwanasaikolojia mzuri sana, nilimpata kule JF photo alipobaini hobi zangu baada ya kusoma nyuzi zangu kadhaa.

Baada ya hapo akawa ananitupia madongo ya chini kwa chini yaliyokuwa yananipa changamoto na wakati mwingine kunifurahisha sana siku nzima. Sasa alipoondoka kimya kimya aliniachia ukiwa.
 
Last edited by a moderator:

okay kwa sasa nimekuelewa....

my sister Blue G naomba uendelee kunilindia mfalme wangu
ntashukuru sana
 
Last edited by a moderator:
shaka ondoa mama mie nipo kwa ajili yenu nyote wawili,u a welcome my dear Heaven on earth huyo grafani11 hata simkaribishi ye mwenyeji sana kwangu maanake mpaka wakati mwingine anaingia kwangu bila kupiga hodi!!!!!!!!!!!grafani11 uwongo ukwelii????????????
okay kwa sasa nimekuelewa....

my sister Blue G naomba uendelee kunilindia mfalme wangu
ntashukuru sana
 
Last edited by a moderator:

nimevutiwa sana na mchango wako katika hili.
 
haaaaaaaaahaaaaaaaaaahaaaaaaaa grafani bwanah basi mwenzio hapo so sifaaa hizo mbichwa huoooo!!!!!!!!!!naonaje raha leo full tabasamu hadi watu wananishangaa wananiuliza kulikoni wakati sio kawaida yako??????????maana mie kawaida yangu ni full mnuno ili niogopwe............haaaaa hhaaaa haaaaa chezeya kusifiwa weye asante my kaka kwa sifa nzuri nzuri kama wazimaanisha kweli eti.
 
Mbele ya malkia sifa anazitoaga huyo.......:smile-big::smile-big:

sijawahi kukutana na wewe maeneo ya hum ndani unajifichiaga wapi wewe
 
basi sawa na mie mbona atanileta hayo maeneo.......

keshanipa stori nzima ya udada/ukaka wenu
 
haaaaaaaaahaaaaaaaaaahaaaaaaaa grafani bwanah basi mwenzio hapo so sifaaa hizo mbichwa huoooo!!!!!!!!!!naonaje raha leo full tabasamu hadi watu wananishangaa wananiuliza kulikoni wakati sio kawaida yako??????????maana mie kawaida yangu ni full mnuno ili niogopwe............haaaaa hhaaaa haaaaa chezeya kusifiwa weye asante my kaka kwa sifa nzuri nzuri kama wazimaanisha kweli eti.
 
Last edited by a moderator:
mbona mi nimejaa tele ila sema kwa kipindi hiki kuna mambo yamenibana kiasi soo nitakuwa nakuja kuwapeni hi kidogo nachungulia natupia angalau tupointi tuwili tutatu naendelea na hako kashughuli kangu,ila usishangae pia nikipotea, kabisa,ila kwa hizi wiki mbili tatu nitakuwepo tu mummy so karibu kwa stori.
Mbele ya malkia sifa anazitoaga huyo.......:smile-big::smile-big:

sijawahi kukutana na wewe maeneo ya hum ndani unajifichiaga wapi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…