Sala kabla ya tendo la ndoa...

haya mama karibu sana ila angalia asijekuambukiza tabia yake ya kupitiliza ndani bila hodi.

sawa nitakuwa makini na nishamtahadharisha tabia ya kuingia bila kupiga hodi.......

mie na grafani11 tunataka tuanze kusali kabla ya hili tendo sijui unaonaje my dada
 
Last edited by a moderator:
Ngoja ukirudi tena rasmi nitakuletea vitu vipya (mambo yetu yale) nilivyovipata nikiwa safarini.

Najua wewe hukawii kunipiga madongo hasa kuhusu vionjo vyangu vile, lakini madongo yako huwa yananifurahisha tu.
sasa grafani11 mbona unaniweka roho juu mwenzio em nipe japo hints walau kidogo tu jamani,hizi wiki mbili tatu nitakuwepo kuwepo angalau.
 
I Never heard of this before!
 
sawa nitakuwa makini na nishamtahadharisha tabia ya kuingia bila kupiga hodi.......

mie na grafani11 tunataka tuanze kusali kabla ya hili tendo sijui unaonaje my dada
Tatizo mimi mwenzio chuma kikiwa kimekolea moto inakuwa tabu. Unaweza kujikuta unaomba peke yako mimi huku naendelea na kilimo, ukisema Amina, mimi huku badala ya kuitikia Amina utashangaa naitikia nakujaaaaaaaaaa...
 
Last edited by a moderator:
Nogopa kujibu hapo kwenye rangi ya jina lako, maana mwenzio Malkia wangu baunsa halafu amenikazia jicho la ukali, najua nikijichanganya tu nyumbani hakukaliki.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nilivyoelewa, ni kwamba si wakati mnataka kula hiyo sakalamenti takatifu la! kabla ya kupanda madhabauni, mnatakiwa kuombea kitanda chenu, vitu vitakavyotumika katika hilo tendo,hiyo inapelekea lile tendo kila mmoja wenu kuridhika na kushiba, ili asiweze kwenda kula kwa jirani.
 
mie sala ya Taz naibandika nyuma ya mlango wa bedrum hahahhaaaa
aiseee nimekupenda bure
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Taz
daaaaah my mdogo samahani kwanza kabla ya yote kama nilivyokueleza mwanzoni kuna kishughuli nafanya kinanibana kiasi nashindwa kuwemo humu full tym ndo maana hta jibu nalitoa leo hii kuhusu hoja ya wewe na grafani11 yua mfalme,kusema ukweli my mdogo hivi inawezekana kweli mkaweza??????????tena bora hata wewe mi nahisi waweza kujitahidi lakini huyo mdog wangu mwigine mmmmmmhhh sijui nna mashaka maanake hayo mambo banah weee acha tu.any way jaribuni tu nisiwakatishe tamaa afu mtanipa feedback.lakini we grafani wewe unaweza na ulivyo...........mtundu naomba nimalizie usije anza ooohh Blue G kanipiga fumbo ooohh siju kalikwenda kakarudi nimemalizia hapo...
sawa nitakuwa makini na nishamtahadharisha tabia ya kuingia bila kupiga hodi.......

mie na grafani11 tunataka tuanze kusali kabla ya hili tendo sijui unaonaje my dada
 
Last edited by a moderator:
Heaven on earth mama si nilikwambia lakini???????nilijua tu mdogo grafani11 mdogo wangu hajiwezi hata chembe we msamehege tu mama sawa???????????
Tatizo mimi mwenzio chuma kikiwa kimekolea moto inakuwa tabu. Unaweza kujikuta unaomba peke yako mimi huku naendelea na kilimo, ukisema Amina, mimi huku badala ya kuitikia Amina utashangaa naitikia nakujaaaaaaaaaa...
 
Last edited by a moderator:

Heaven on earth mama si nilikwambia lakini???????nilijua tu mdogo grafani11 mdogo wangu hajiwezi hata chembe we msamehege tu mama sawa???????????
Hata hivyo jitahidi usiwe unapotea sana bhana, hujui tu jinsi ninavyohisi upweke bila kukuona humu ndani.
 
Last edited by a moderator:
roman catholic kuna sala maalu kabisa ya kuombea tendo la ndoa kwa wanadoa
 
kuwa na adabu kwa baadhi ya maneno unayotumia kwani ulimi uliponza mdomo, unajua maana ya (kuombea tendo sala). nimekuona kuwa kumbe nawe ni dhaifu na lege lege
 
kuwa na adabu kwa baadhi ya maneno unayotumia kwani ulimi uliponza mdomo, unajua maana ya (kuombea tendo sala). nimekuona kuwa kumbe nawe ni dhaifu na lege lege

^^
Ningefurahi sana kama ungeweka tafsiri yako kuliko kunihukumu.
Ndivyo waungwana waishivyo,,nobody had ever reached the peak of knowledge!!
^^
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…