esitena tetena
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 1,747
- 1,082
kumbe viongozi wa vyama vya upinzani wakiitwa madikteta sio uchochezi?Sakaya ailima barua CUF
Naibu Katibu Mkuu wa CUF (Bara), Magdalena Sakaya amesema amewasilisha barua ya rufaa katika mkutano mkuu wa chama hicho kupinga kusimamishwa uanachama.
Hivi karibuni, Baraza Kuu la Uongozi la chama hicho lililoketi visiwani Zanzibar lilimsimamisha uanachama Sakaya kutokana na kile kilichoelezwa ni kuvunja katiba kwa kutohudhuria kikao bila kutoa taaarifa.
My take.
Udikteta wa sultani Seif utaimaliza CUF!
Kwanza kumdanganya kuwa ije mvua lije jua lazima atapitishwa yeye kugombea urais CCM. AlipoKATWA, mkamshauri aende UKAWA kwamba Watanzania wote wako nyuma yake. Kiko wapi?kivipi?fafanua
Sakaya ailima barua CUF
Naibu Katibu Mkuu wa CUF (Bara), Magdalena Sakaya amesema amewasilisha barua ya rufaa katika mkutano mkuu wa chama hicho kupinga kusimamishwa uanachama.
Hivi karibuni, Baraza Kuu la Uongozi la chama hicho lililoketi visiwani Zanzibar lilimsimamisha uanachama Sakaya kutokana na kile kilichoelezwa ni kuvunja katiba kwa kutohudhuria kikao bila kutoa taaarifa.
My take.
Udikteta wa sultani Seif utaimaliza CUF!
Ana uhuru wa kuwa na upande,ndio maana ya Demokrasia...unataka kila mtu afikiri kama Seif?Huyu mama bado Akili hazijamkaa sawa siku zikimkaa sawa Ataacha kumsikiliza Lipumba atakapomuona Akiwa Mwenyekiti Act. Ana ubunge wa Tabora atakuwa keshaa upoteza.
Tatizo sio kufikiri kama Seif! Huyo mama atambue Lipumba sio mwenyekiti tena ! Utamsikilizaje mtu ambaye sio chochote ndani ya chama?Ana uhuru wa kuwa na upande,ndio maana ya Demokrasia...unataka kila mtu afikiri kama Seif?
Ajabu eti kina bulembo ndo think tankers wa ccm[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]lipumba is irrelevant,kutaka kupambana na lowassa kupitia kumrudisha lipumba cuf haitawezekana,mamvi anaijua siasa kuliko think tankers shallow type za bulembo na sendeka
Umebugi kwenye hiyo my take yako! Next time acha hadhira iamueSakaya ailima barua CUF
Naibu Katibu Mkuu wa CUF (Bara), Magdalena Sakaya amesema amewasilisha barua ya rufaa katika mkutano mkuu wa chama hicho kupinga kusimamishwa uanachama.
Hivi karibuni, Baraza Kuu la Uongozi la chama hicho lililoketi visiwani Zanzibar lilimsimamisha uanachama Sakaya kutokana na kile kilichoelezwa ni kuvunja katiba kwa kutohudhuria kikao bila kutoa taaarifa.
My take.
Udikteta wa sultani Seif utaimaliza CUF!
TANU, wewe unaifahamu?Alijifunzia wapi?
hii sio ngoma ya ukawa...ni mambo ya ndani ya cuf bro..waacheni waamue wanavyotaka.Lipumba, magdalena, mnyaa, na wengine tupa kule lumumba Street, ukawa hatuwezi yumba
Ha ha haNaibu Katibu Mkuu yupi?
Saivi kuna Kaimu Naibu Katibu Mkuu ambaye ni Mh Bashange huyo wako ww peleka Lumumba!