Sakata la ZITTO, Yaliyoko nyuma ya pazia

Sakata la ZITTO, Yaliyoko nyuma ya pazia

Asante kwa taarifa. Ila ungetueleza zaidi kidogo kuhusu lengo na madhumuni ya MM-2013. Au utubandikie kabisa ushahidi wa kuwepo hilo kundi. Hii itasaidia kuondoa upotoshaji na pia kuyaelewa malengo kama yalikuwa kwa nia njema au mbaya
tafuta humu kuna waraka
 
Chadema inapaswa pia imfukuze Said Arfi ili ibaki safi bila ya 'Virusi'.
 
Bora CDM ife,bila kuwa na mamluki ndani ya Chama.Waanzilishi wa CDM walikuwa na msimamo toka mwanzo ,Mzee Mtei na Bob Makani!

Magamba na uhuni/ufisadi/ubakaji wao wamejitahidi kuvinunua na kufanikisha vyama vya UDP/CUF/NCCR

Eti Mbatia/Cheyo/Mrema ni opposition ???????naanguka kicheko
 
Huyu m2 ni nani? any way siku 14 zinawatosha kujirudi ama kuomba radhi.!
 
Tujiulize; je, ule mkakati wa CCM wa kuisambaratisha CDM ifikapo 2014 ndio huo ambao ulibebwa na Zitto wa MM2013? Au bado uko mwingine? Kama ndio huo uliokuwa ukisemwa na Wasirra, basi CCM itakuwa itazikwa rasmi 2015?
Bila shaka uwe ndio mkakati wenyewe.Ambao CCM waliamini kuwa utaimaliza CHADEMA.Nadhani sasa tuandae kaburi la kuizika CCM ipumzike kwa amani.
 
waliitwa lini na Zitto akaomba msamaha wakati hakuwemo kwenye kikao?
 
Back
Top Bottom