Hawa mbona hawaeleweki. ACT zanzibar wamesusia serikali ila bara wanatambua matokeo ya ubunge hadi wameapa. Hii inachekesha sana
Yaani kwenye machafuko na vurugu mnapambania ubunge wa viti maalum ila kule visiwani kulipokua na amani bila maandamano ndio hamtambui matokeo.
ACT imeshajizika rasmi