Sakata la uhamiaji haramu-TZ

nummy

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
587
Reaction score
166
Wandugu hili sakata ni balaa yaani kama unalisikia kwenye vyombo vya habari unachukulia simpo basi sio hivyo sasa hivi hukati tiketi ta treni bila ya kuwa na kadi ya kupigia kura hii imetokea hapa makao makuu. Nawakumbusha wanaosafiri kwa shughuli zao mbalimbali wakumbuke kubeba hiyo kadi
 
Mbona safi hiyo ili kupunguza mashambulizi ya tindikali na mamluki?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

agenda hii imeletwa sasa ili Watu wasahau kufuatilia uchakachuaji wa Rasimu ya katiba! WANAINCHI MSIDANGANYIKE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…