Sakata la Tido lilianza 2009

Sakata la Tido lilianza 2009

mahali ambapo tbc waliponichefua ni hao wachina wa startimes...king'amuzi ushuzi kabisa kile
but again,sidhani kama tido ni mjinga kafanya kuwa na kitu kitakachomtoa kitanzini
let's wait and see
 
Duuub kumbe hili saga ni la 2009 na mmiliki wa mwanahalisi alieandika hizi mambo leo nilimuona na tido mahakamani
 
pol kw tido.. apmban ashind kesi.
 
Itafikia wakati atutoaminiana kabisa kama kuna baadhi ya ndugu zetu wameshalitia kwenye siasa
 
Alimtibua Kikwete na sasa jinamizi linaendelea kumfuata
 
Back
Top Bottom