Sakata la Sh.Trilioni 1. 5: Zitto kutoa maelezo mengine leo

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,198
Reaction score
162,746
Katika ukurasa wake wa twitter na facebook, Zitto ameseme leo ataelezea "matobo" ya majibu ya serikali kuhusiana na sakata la shilingi trilioni 1.5 na baada ya hapo wataliachia Bunge lifanye kazi yake.

Safi sana Zitto!

Hizi sio zama za zidumu fikra za mwenyekiti kama ambavyo kundi fulani la watu linavyotaka Taifa zima tuamini bali ni zama za zidumu fikra kinzani kwa maendeleo ya Taifa..
 
Duuu, leo kwa mara ya kwanza nimekaa na dereva kabisa, waiting for that maelezo
 
Katika ukurasa wake wa twitter na facebook, Zitto ameseme leo ataelezea "matobo" ya majibu ya serikali kuhusiana na sakata la shilingi trilioni 1.5 na baada ya hapo wataliachia Bunge lifanye kazi yake.

Safi sana Zitto!

Hizi sio zama za zidumu fikra za mwenyekiti kama ambavyo kundi fulani la watu linavyotaka Taifa zima tuamini bali ni zama za zidumu fikra kinzani kwa maendeleo ya Taifa..
Zitto aache mambo ya Kiswahili na story za " vibarazani"!
 
Hakuna kunyamaza, tuwapigie kelele kama ngedere shambani la sivyo watamaliza au kutumia vibaya pesa zetu.

SAFI ZITTO.
 
walete walete Zitto !!
 
Zitto aache mambo ya Kiswahili na story za " vibarazani"!
Zitto anawasilisha hoja kwa hesabu zilizomo kwenye ripoti ya CAG. CCM ndiyo wanaoleta stori za vibarazani.

hii mechi haitaisha kirahisi kama mnavyodhani. bado ni mbichi kabisa na lazima mwizi anaswe na atoswe!!
 
stori za vibarazani? anazileta yule aliyewasimamisha ma subordinate mbele za kadamnasi na kuwauliza "eti CAG kuna 1.5 trilion zimeibiwa"? kwa akili za kawaida ulitegemea yule CAG pale angejibuje?
 
Hakuna kunyamaza, tuwapigie kelele kama ngedere shambani la sivyo watamaliza au kutumia vibaya pesa zetu.

SAFI ZITTO.
mkuu hela huwa haziishi..

Kina mobutu walikuaga wanajichotoa tu,
kina Abacha etc ,hela huwa haziishi,
hivi hata wewe Trilion 1 utaipeleka wapi?,maana huwa haifichiki kama pembe la ng'ombe,
acheni wale,ndo wakati wao huu
 
Hakuna kunyamaza, tuwapigie kelele kama ngedere shambani la sivyo watamaliza au kutumia vibaya pesa zetu.

SAFI ZITTO.
mkuu hela huwa haziishi..

Kina mobutu walikuaga wanajichotoa tu,
kina Abacha etc ,hela huwa haziishi,
hivi hata wewe Trilion 1 utaipeleka wapi?,maana huwa haifichiki kama pembe la ng'ombe,
acheni wale,ndo wakati wao huu
 
Zitto anawasilisha hoja kwa hesabu zilizomo kwenye ripoti ya CAG. CCM ndiyo wanaoleta stori za vibarazani.

hii mechi haitaisha kirahisi kama mnavyodhani. bado ni mbichi kabisa na lazima mwizi anaswe na atoswe!!
Mechi imeshaisha mkuu!
 
Back
Top Bottom