Vi-WonderrrNomaaa
Kumbe yuko nje, alilipa fine au vipi ?Brother anadunda mtaani, ila ile jeuri ya wakati wa Mkwere kwisha kazi. Ule ujanja wa kuwapigia debe watu wanaopewa vyeo ili biashara zao ziweze kwenda vizuri, kwisha habari yake.
Wajanja wa awamu hii ni hawa kina Mzee Mfugale, Dogo wa Dar na watu wa aina hiyo.
Sina uhakika sana lakini nadhani alilipa fine.Kumbe yuko nje, alilipa fine au vipi ?
Sina uhakika sana lakini nadhani alilipa fine.
Acha uongo wewe!!!,, nani anadunda mtaani, jamaa bado wapo gereza la mahabusu keko,, kesi yao bado haijaisha ,juzi tu walikuwa pale kisutuBrother anadunda mtaani, ila ile jeuri ya wakati wa Mkwere kwisha kazi. Ule ujanja wa kuwapigia debe watu wanaopewa vyeo ili biashara zao ziweze kwenda vizuri, kwisha habari yake.
Wajanja wa awamu hii ni hawa kina Mzee Mfugale, Dogo wa Dar na watu wa aina hiyo.
Wabongo kujitia kujua,,hao jamaa wote bado wapo ndani,,wapo gereza la Keko ,,hawajapata dhamana,,na wala kesi yao bado haijaisha,, source me mwenyewe from kisutu
Sina uhakika sana lakini nadhani alilipa fine.
Mkuu nasikia bado wapo lupangoKwa ccm lolote linawezekana
Wabongo kujitia kujua,,hao jamaa wote bado wapo ndani,,wapo gereza la Keko ,,hawajapata dhamana,,na wala kesi yao bado haijaisha,, source me mwenyewe from kisutu
Nipo hapa nahaha kuhakikisha iyo Bil moja naitia mkononi ,,kitaa vijana wanasema fursa ishapatikana,, hapa nipo kwenye mikoko huku tunamsaka MO kwa udi na uvumba,tupe na ya MO
Jamaa bado wapo ndani,hamna anaethubutu kula hela ya kina choma ili waachiwe mkuu,,labda kama ajitaki,, wapo keko wamejaa tele, kesi inayosababisha wawe ndani ni moja tu ambayo dhamana haina,ni (ML) kutakatisha,Mkuu nasikia bado wapo lupango
Kivipi mkuu MmawiaMkuu sasa mbona unabishana na mwenye nchi?
Unajua kwa nn wamewekewa na kesi ya money laundaring?kinachofuata ninkufirisiwa tu hapo mara nyingi watu janja janja wanakosaga maelezo kwenye pesa walizo nazo so wakikupiga na money laundering hutokiMwisho wa siku utasikia anashinda kesi
Jamaa bado wapo ndani,hamna anaethubutu kula hela ya kina choma ili waachiwe mkuu,,labda kama ajitaki,, wapo keko wamejaa tele, kesi inayosababisha wawe ndani ni moja tu ambayo dhamana haina,ni (ML) kutakatisha,
uhujumu uchumi uwa ina dhamana japo masharti yake mara nyingi kama kesi ina thamani kufikia bilioni moja, basi inatakiwa uache keshi mahakamani mil500,, na dhamana yake hadi mahakama ya mafisadi pale ubungo,,, choma nasikia kawa imamu keko anaswalisha